Usted buscó: shambulio la aibu (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

shambulio la aibu

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

je, swali ni la aibu?

Inglés

is the question shameful?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha zinazozunguka mitandaoni kuwafariji wahanga wa shambulio la paris.

Inglés

memes widely shared in solidarity with the victims of the paris attacks.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

#alshabaab sasa wanasema kwamba wataweka video ya shambulio la westgate

Inglés

and #alshabaab now say that they will soon post the video of #westgateattack pic.twitter.com/q2srbbksf4 — robert a. (@robertalai) september 21, 2013

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mtazamo wa wachima kuhusu shambulio la garissa na ibada hiyo ya kumbukumbu

Inglés

chinese perceptions of garissa and the vigil

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

shambulio la westgate ni dalili ya hivi karibuni ya udhaifu wa kikundi hicho.

Inglés

the westgate attack is the latest sign of the group’s weakness.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

m-israeli mmoja aliuawa kwa shambulio la roketi kwenye eneo la palestina.

Inglés

one israeli was killed in rocket attacks from the palestinian enclave.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ikiwa mlipuko huo ni shambulio la kigaidi, mara nyingi bomu la pili laweza kulipuka kuangamiza maelfu

Inglés

if terror bomb, usuallly a 2nd bomb is nearby to hit crowds.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa bahati mbaya, hakukuwa na sherehe huko swati kwa sababu ya hatari ya shambulio la kigaidi.

Inglés

unfortunately, no celebration took place in swat due to possible terrorist threats.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tukubaliane kwamba vyombo vya ndani navyo vimefanya kazi mbaya katika kutangaza habari za shambulio la garissa.

Inglés

let's just agree that local media did/has done a shoddy job in covering #garrisaattack.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kutokuwepo kwa mwitikio wa kimataifa kwenye shambulio la garissa ukilinganisha na lile la charlie inaonesha jinsi dunia isivyojali wengine

Inglés

lack of international reaction to the #garrisaattack compared to #jesuischarlie shows how little the world cares about #africanlivesmatter — shekhar kapur (@shekharkapur) april 5, 2015

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa wengi, kufungwa kwa idhaa ya televisheni ni shambulio la wazi kwa vyombo huru vya habari na pia ni kitendo cha kutishia.

Inglés

for many, the closing of the television channel is a clear attack on free press and it also becomes an intimidating act.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa hiyo, mwandishi wa habari wa cnn alimwuliza mtu aliyenusurika kifo kwenye shambulio la garissa: "hivi uliogopa'?

Inglés

so, a cnn journalist asked a survivor from the garrisa attack: 'were you scared'?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kiongozi wa waasi wa donetsk alikana kuhusika na shambulio la ndege hiyo ya malaysia mh17, akidai limefanywa na jeshi la anga la ukraine.

Inglés

donetsk’s putative leader denies any role in the attack on malaysian flight mh17, saying it must have been the ukrainian air force.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kamishna wa polisi wa nchi hiyo amekanusha tetesi kwamba mlipuko huo umetokana na shambulio la bomu linalohusishwa na kikundi cha kigaidi cha al-shabaab.

Inglés

kenya's police commissioner has refuted rumors of bomb attacks linked to al-shabaab.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@iamneshynsky: watu wasikimbilie kufanya mahitimisho na kuhisi ni shambulio la al shabaab...chochote kinawezekana katika tukio hilo #nairobiblast

Inglés

@iamneshynsky: people should stop jumping into conclusion and say its an al shabaab atack..it could be anything at this point #nairobiblast

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hali hii ya kukosekana kwa taarifa zilizohusiana na shambulio la garissa liliwafanya wanafunzi wa kiafrika wanaosoma jijini beijing kuchukua hatua, pamoja na kuwa maelfu ya kilometa mbali na nchi walizotoka.

Inglés

this combined lack of visibility in the news landscape prompted kenyan and other african students to react in beijing, despite being thousands of kilometers away from their home countries.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ilipotimu saa 5 usiku, rais uhuru kenyatta alilihutubia taifa na kuthibitisha kwamba kilichokuwa kinaendelea huko westgate, kilikuwa, kwa hakika, ni shambulio la kigaidi.

Inglés

at about 11 p.m. in the evening, president uhuru kenyatta addressed the nation and confirmed that what was happening in westgate was, indeed, a terror attack.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

daktari wa ki-peru ni mmoja wa wahanga waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi lilitokea kenya: wizara ya mambo ya kigeni imethibitisha kwamba juan jesús ortiz...

Inglés

peruvian physician among the mortal victims of terrorist attack in kenya: ministry of foreign affairs confirmed that juan jesús ortiz...

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.

Inglés

benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata mwezi umekuwa mwekundu hapa gaza usiku wa leo mpiga picha jehad saftawi anatuma picha kutoka kwenye mpaka wa gaza, ikionyesha kuanza kwa operesheni hiyo: shambulio la ardhini linalofanywa na israeli limeanza kwenye ukanda wa gaza, hapa kwenye mpaka wa gaza

Inglés

even the moon is red in gaza tonight... #gazaunderattack pic.twitter.com/etgqgkyytx — فلسطين i (@ifalasteen) july 17, 2014

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,794,575,404 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo