Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
shauri ya mungu
divine counsel
Última actualización: 2021-01-10
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
alisikia harifu ya pombe kwenye pumzi yake.
she could smell the whiskey on his breath.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kioevu cha kuua vijidudu cha mikono kinafaa kuwa na angalau 60% ya pombe.
alcohol-based hand sanitizer should contain at least 60% alcohol.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kulikuwa na taarifa za watu kujeruhiwa na kuanguka kwa nyumba shauri ya mtikisiko mkubwa.
there were reports of injured people and collapsing of houses as a result of the movement.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
lakini shauri ya mageuzi ya haraka ya kimaendeleo nchini india, miingiliano ya kijamii nchini humo inabadilika.
with india's rapid development, however, the country's social fabric is changing.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
ordosgoitti anasema wasanii hufungiwa au kufuatiliwa shauri ya malalamiko yanayotoka kwa watumiaji wengine wa mtandao wanaoona mashapisho yao.
ordosgoitti says artists are usually blocked or censored because of complaints filed by other users with access to their accounts.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
cdc inapendekeza zaidi kutumia kioevu cha mkononi yenye pombe cha kuua viini vya magonjwa chenye angalau asilimia 60 ya pombe kwa kiasi wakati sabuni na maji hazipatikani kwa urahisi.
cdc further recommended using an alcohol-based hand sanitizer with at least 60% alcohol by volume when soap and water are not readily available.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
global voices advocacy ilianzisha mtandao wa tumblr mapema mwezi mei kutafuta uungwaji mkono kwa wanablogu tisa na waandishi wa habari - ambao wanne kati yao ni wanachama wa global voices - ambao kwa sasa wako kizuizini nchini ethiopia shauri ya kazi zao.
global voices advocacy started a tumblr in early may to rally support for nine bloggers and journalists — four of them global voices members — who are currently being detained in ethiopia because of their work.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
mwanablogu wa teknolojia amitha amarasinghe anadai kwamba mtandao wa facebook unapewa taswira hasi na vyombo vikuu vya habari nchini sri lanka kwa vichwa vya habari kama "mwanafunzi ajiua shauri ya picha iliyowekwa facebook", "mapenzi ya facebook yaishia na kifo" na kadhalika.
tech blogger amitha amarasinghe alleges that facebook is being portrayed negatively in mainstream media in sri lanka accompanied with saucy headlines like "student commits suicide over a facebook photo", "facebook love ends in death" etc:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible