Usted buscó: siku zetu za kuishi si nyingi (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

siku zetu za kuishi si nyingi

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

wageni wasio wakazi wamekatazwa kuingia ghorofa za kuishi

Inglés

non-resident visitors prohibited from entering apartment complexes

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tunatanguliza shukrani zetu za dhati

Inglés

we express our sincere gratitude

Última actualización: 2019-01-22
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

"ardhi zetu za urithi zinachukuliwa kwa nguvu.

Inglés

"our ancestral lands are being forcibly taken from us.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

tunaamini kwamba makala na taarifa zinazozalishwa na connectas zinasaidia pia kwenye habari zetu za amerika ya kusini.

Inglés

we believe that the articles and reports produced by connectas will be a quality complement to our coverage of latin america.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

pitia tathmini zetu za kikanda za sauti za dunia (global voices) kwa mwaka 2012

Inglés

check out our regional reviews of global voices in 2012

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hii ni afrika na tunajulikana kwa kucheza na kuimba na kwa kawaida kwa kutengeneza mandhari nzuri katika mechi zetu za mpira wa miguu.

Inglés

this is africa and we are renowned for dancing and singing and generally creating a great vibe at our football matches.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

pia, shukrani zetu za dhati ziiendee mamlaka ya jiji la cebu kwa kuturuhusu kutumia jengo lao tukufu la provincial capitol kwa muda wa siku mbili.

Inglés

to the province of cebu for letting us have the run of their grand provincial capitol building for two whole days.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

shukrani zetu za dhati kabisa ziwaendee wafadhili wetu wa masuala ya habari sunstar publishing, pamoja na wafadhili wetu wa mawasiliano globe telecom na smart communications.

Inglés

our heartfelt gratitude to our media sponsor sunstar publishing, and our tech sponsors globe telecom and smart communications.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

si kwamba tunajaribu tena kujipendekeza kwenu, ila tunataka kuwapa ninyi sababu zetu za kuona fahari juu yenu, ili mpate kuwajibu wale wanaojivunia hali yao ya nje zaidi kuliko jinsi walivyo moyoni.

Inglés

for we commend not ourselves again unto you, but give you occasion to glory on our behalf, that ye may have somewhat to answer them which glory in appearance, and not in heart.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

walimu na wahadhiri katika shule zetu za sekondari na vyuo vikuu wanashuhudia mwenendo wa mambo unaoonyesha kuwa wanafunzi wa shule binafsi wanazungumza kiingereza fasaha, lakini uwezo wao wa kufikiri, kuandika na uwezo wa kufanya mahesabu uko chini.

Inglés

teachers and lecturers in our secondary schools and universities are observing a trend in which students from private schools speak perfect english, but their reasoning, writing and problem-solving skills are not well developed.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

gharama zetu za uanzishaji zitakuwa $1m, ambazo zinajumuisha $450,000 kwa ajili ya kupata shughuli za maui na hilo za teknolojia ya ofisi ya servco integrated office.

Inglés

our start up costs will be $1m, which includes $450,000 for the acquisition of the maui and hilo operations of servco integrated office technology.

Última actualización: 2021-11-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

makala hii ni ya tatu katika matoleo ya makala zetu za - "wanayo majina" - iliyo na madhumuni ya kuwazungumzia wanablogu ambao hadi sasa wapo gerezani.

Inglés

this marks the third post in our series – “they have names” – that seeks to highlight the individual bloggers who are currently in jail.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.

Obtenga una traducción de calidad con
7,770,819,388 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo