Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
waagizaji wa mafuta na serikali za msumbiji na malawi wanalaumiana kuhusu tatizo la mafuta lililoikumba malawi kwa zaidi ya wiki nne mfululizo katika mwezi novemba na disemba.
the fuel importers and governments of malawi and mozambique blamed each other for the fuel crisis that hit malawi for a consecutive four weeks plus in november and december.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kuhusu tatizo la mafuta, mwanahabari richard chirombo alijaribu kuliweka tatizo katika muktadha wa kihistoria na kuonyesha kuwa shehena ya malawi ilikwama huko msumbiji kutokana na kupungua kwa matumizi ya bandari ya beira.
on fuel crisis, journalist richard chirombo tried to put the situation into historical perspective by pointing out that malawi cargo was stuck in mozambique due to a decline in the use of the beira port.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wizara ya utamaduni haina budi kufanya kitu kuhusu tatizo la ongezeko la makahaba wanaozidi kuigubika nchi yetu badala ya kulifumbia macho na kulitumia "eti kuhamasisha" uchumi wetu!!
the ministry of culture should do something about the many prostitutes swarming our country instead of turning a blind eye and using it to "help and promote" our economy!!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.