Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
si kwamba sitambui mchango wa mj katika muziki na kipaji chake kikubwa, nitakuwa mwenye welewa mdogo kwa kufanya hivyo, lakini ninashangazwa iweje hatuumizwi tunapoona vifo dunia nzima.
not that i don’t recognise mj’s contribution to music and his great talent, i would be naïve to do so, but i wonder why we no longer get the shock when we see death around the world.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tupende tusipende, tunapoona taswira ya watu wa somalia ulimwenguni kote, na tukifananisha na hali yetu (angalau, wenzetu waishio nje ya nchi kwa amani), je ni kweli tunahisi kuwa hao kaka na dada zetu wanahitaji katiba inayoweza kuwasaidia hivi sasa kwa kuwa wanahanganika kujinasua na hali mbovu?
whether we like it or not, when we see images of the somali people around the world and we compare our own situation (at least, those in the diaspora that live in peace), do we feel that those brothers and sisters need a constitution that works for them now since they are dealing with horrible situations?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: