Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
mchambuzi ben taylor hakuwa na imani na maelezo hayo.
analyst ben taylor is less optimistic.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote.
but jesus did not commit himself unto them, because he knew all men,
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na abrahamu aliyeamini.
so then they which be of faith are blessed with faithful abraham.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kutoamini kwangu mungu kunafunikwa na imani ya mwenzangu iliyo motomoto.
the scenes unfold as in a movie seen a thousand times.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na mkiwa na imani, chochote mtakachoomba katika sala, mtapata."
and all things, whatsoever ye shall ask in prayer, believing, ye shall receive.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
benjamin rukwenge alionesha kutokuwa na imani na marais wa afrika mashariki:
benjamin rukwenge expressed his mistrust of the east african presidents:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
gohankun alipatwa na huruma kwa ugumu wa kukutana na imani za kidini nchini japani.
gohankun felt sympathy for the sheer difficulty of having a religious faith in japan.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.
now faith is the substance of things hoped for, the evidence of things not seen.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hesabu kamili ya kura za siri zilizopigwa kwenye kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu: 190 kwa 18
total count from the counted secret ballots in @pouyingluck impeachment vote: 190 to 18. #thaijunta #thailand — steve herman (@w7voa) january 23, 2015
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ninawatakieni ninyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa mungu baba na kutoka kwa bwana yesu kristo.
peace be to the brethren, and love with faith, from god the father and the lord jesus christ.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa roho mtakatifu na imani. kundi kubwa la watu lilivutwa kwa bwana.
for he was a good man, and full of the holy ghost and of faith: and much people was added unto the lord.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini nipo tayari kuwa na imani isiyo ya kawaida, ikiwa kama ni hilo tu linalohitajika ili kukaribisha amani iliyotuchenga kwa muda mrefu.
but i am willing to take an unusual leap of faith if that’s what it takes to usher in the long-elusive peace.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
manaibu wajumbe 10 tu ndio waliounga mkono muswada wa kutokuwa na imani uliofadhiliwa na katika serikali inayoongozwa na tymoshenko katika bunge la ukraine leo hii.
only 10 deputies supported a -sponsored no confidence motion in the tymoshenko-led government in the ukrainian parliament today.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
honeybe, mtoa maoni mwingine kwenye blogu hiyo, alikuwa na maoni chanya kuhusu kuwa na imani, lakini alisaili matatizo ya dini.
honeybe, another commenter on the blog post, had a more positive opinion about having faith, but also made it a point to highlight the negative aspects of religion.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kinyume na imani maarufu hata hivyo, tafiti za kisayansi zimeonyesha kwamba kutumia maji vuguvugu hakuna athari katika kupunguza uchafu wa viiini kwenye mikono.
contrary to popular belief however, scientific studies have shown that using warm water has no effect on reducing the microbial load on hands.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"si kazi rahisi kwa vijana wa kipalestina na kiyahudi kushinda idadi kubwa ya taarifa zisizo sahihi na imani potofu ambazo zinafundishwa mmoja kuhusu mwingine.
it is no simple task for israeli and palestinian youth to overcome the vast amount of misinformation and stereotypes they are taught about one another.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
basi, mungu aliye msingi wa matumaini, awajazeni furaha yote na amani kutokana na imani yenu; tumaini lenu lipate kuongezeka kwa nguvu ya roho mtakatifu.
now the god of hope fill you with all joy and peace in believing, that ye may abound in hope, through the power of the holy ghost.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
unaulizwa kushiriki katika utafiti ili kujua maarifa ya uchunguzi wa saratani ya kizazi, imani, na tabia. lengo la mradi wa utafiti ni kuamua uhusiano kati ya maarifa na imani yako na tabia zako za uchunguzi
you are being asked to take part in a reasearch study to determine cervical cancer screening
Última actualización: 2021-03-07
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
mnamo tarehe 21 ya mwezi machi, 2012, mahakama ya bangladesh iliamuru mamlaka zinazohusika kuzifungia kurasa za mtandao wa facebook na tovuti moja kwa kumkufuru mtume mohammad, koran na imani nyingine za kidini.
on 21 march, 2012, a bangladesh court ordered concerned authorities to shut down five facebook pages and a website for blaspheming the prophet mohammed, the koran and other religious subjects.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kwa nini usiwepo mji mmoja ukaamini na imani yake ikawafaa - isipo kuwa kaumu yunus? waliamini na sisi tukawaondolea adhabu ya hizaya katika maisha ya dunia, na tukawastarehesha kwa muda.
why was there never a city that believed, and its belief profited it? -- except the people of jonah; when they believed, we removed from them the chastisement of degradation in this present life, and we gave unto them enjoyment for a time.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.