Usted buscó: ukumbi wa mazoezi (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

ukumbi wa mazoezi

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

ukumbi wa kula

Inglés

dining hall

Última actualización: 2021-10-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ukumbi wa vijana

Inglés

youth hall

Última actualización: 2020-01-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mafuriko karibu na ukumbi wa mji wa manilla.

Inglés

flood near manila city hall.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

maandamano nje ya ukumbi wa jiji tarehe 25 machi

Inglés

protest outside the city hall on march 25

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

waandamanaji wakiwa wameketi nje ya ukumbi wa uchaguzi.

Inglés

protesters sitting outside the election hall. image by flickr user inmediahk (cc by-nc).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

naye yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa solomoni.

Inglés

and jesus walked in the temple in solomon's porch.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mgomo mkubwa, kwenye ukumbi wa seoul city hall plaza.

Inglés

general strike, at the seoul city hall plaza.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ukumbi wa michezo nyingi kama yale yaliyoko broadway pia zilisimamisha michezo za kuigiza.

Inglés

many large theatres such as those on broadway also suspended all performances.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hata hivyo, haikuweza kufahamika moja kwa moja, alichokuwa anakikifanya chenge katika ukumbi wa bunge.

Inglés

that day in parliament, however, it was unclear what, exactly, chenge was doing.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wakati huo makuhani wakuu na wazee wa watu walikutana pamoja katika ukumbi wa kayafa, kuhani mkuu.

Inglés

then assembled together the chief priests, and the scribes, and the elders of the people, unto the palace of the high priest, who was called caiaphas,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

matokeo ya shindano hili yametangazwa leo katika ukumbi wa mit-knight civic media cambridge, massachusetts.

Inglés

the results of the competition were announced today at the mit-knight civic media conference in cambridge, massachusetts.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wafanyakazi wa ukumbi wa sinema wa odeon jijini london, walipogundua maandamano ya #districtthai, waka twiti:

Inglés

the staff at london's odeon cinema noticed the #districtthai demonstration right away, tweeting:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

bwana ndugai alitoa amri kuwa, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani atolewe katika ukumbi wa bunge kwa kukataa kutii amri ya kukaa.

Inglés

mr ndugai ordered that the chadema supremo be kicked out for disregarding his orders to sit down.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

matokeo yalipotangazwa, maelfu ya waandamanaji walipinga uchezewaji huo wa mchakato wa uchaguzi. waliendesha maandamano hayo nje ya ukumbi wa muda wa uchaguzi.

Inglés

when the election result was released, thousands of demonstrators protested against the beijing manipulation of the election process outside the temporary election venue.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

video nyingine ambayo iliwashangaza watu ilikuwa ni ile ya mwanablogu ricardo gama wa basi la vw linalomilikiwa na ukumbi wa jiji lilipotumiwa kwa ajili ya kampeni mjini rio de janeiro.

Inglés

another video that raised eyebrows was one by blogger ricardo gama of a vw bus owned by the city hall being used for a campaign in rio de janeiro.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mheshimiwa joseph (sugu) mbilinyi akipinga jaribio la kutaka kutolewa ndani ya ukumbi wa bunge na maafisa usalama wa bunge wiki iliyopita.

Inglés

honorable joseph (sugu) mbilinyi resisting attempts by security officers to remove him from parliament last week.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika jukwaa maarufujamii forums, picha zilimuonesha mbilinyi akikataa kuondolewa katika ukumbi wa bunge na maafisa usalama, uliibua mjadala wa kina kuhusiana na aina ya siasa ya tanzania.

Inglés

on the popular platform jamii forums, photos showing mbilinyi resisting attempts by officers to remove him from the house floor generated considerable debate about the nature of politics in tanzania.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

akasema, "nitasikiliza kesi yako baada ya washtaki wako kufika." kisha akaamuru paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya ukumbi wa herode.

Inglés

i will hear thee, said he, when thine accusers are also come. and he commanded him to be kept in herod's judgment hall.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

watu wote, wakiwa na mshangao mkubwa wakaanza kukimbilia mahali palipoitwa "ukumbi wa solomoni," ambapo yule mtu alikuwa bado anaandamana na petro na yohane.

Inglés

and as the lame man which was healed held peter and john, all the people ran together unto them in the porch that is called solomon's, greatly wondering.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

ndipo, miezi mitano tena baadae, lilipotokea tukio la mbunge wa chadema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa kuingilia hotuba ya mbunge mwenzake kutoka chama tawala, ccm wakati wa mjadala wa bajeti ya serikali.

Inglés

and then there was the incident five months ago, when a chadema mp was thrown out of the chamber for interrupting a colleague of his from ccm, during a debate on the budget.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,781,523,380 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo