De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
pia walihusisha mijadala kuhusiana na juhudi, changamoto na magumu ambayo vijana wa kileo wa china wanayokabiliana nayo.
they also included discussions about the struggles, difficulties, and bitterness that chinese youth face today.
badala yake, angependa kuwaona wakitafuta watu 12 ambao picha zao amezitundika kwenye ukuta wa maabara yake ya kompyuta ya shule hiyo
instead, he'd like to have them look up to the 12 people whose portraits he has hung up on the computer lab wall of his school
hatua hiyo imechukuliwa na wengi kama dalili nyingine kuwa utawala mpya wa china unaweza ukawa na namna mpya ya utawala inayotofautiana na waliopita.
the move was seen by many as another indication that china’s new leadership may have a different management style from their predecessors.
sheria hii imeanzishwa kufuatia idadi kubwa ya watu wa china kuonekana kuwa na umri mkubwa na hii inatokana na sera ya kuzaa mtoto mmoja tu.
the law is designed as china's population ages rapidly due to the one-child policy.
msanii mwigizaji maarufu wa china zhang ziyi aliwaomba wafuatiliaji wa habari zake kwenye mtandao wa weibo kutazama filani inayohusu namna wanasheria wanavyosaidia kutafutwa kwa haki:
well-known chinese actress zhang ziyi asked her weibo followers to watch a movie about how lawyers uphold justice:
ikiwa ni filamu ya kizalendo, awali ilipangwa kutolewa mwezi oktoba ili kusherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya jamhuri ya watu wa china lakini ikacheleshwa mpaka mwisho wa mwaka 2009.
as a patriotic film, it was originally set to release in october for celebrating the 60th year anniversary of prc but deferred until the end of 2009.
kwa nyongeza, tangu mwaka 2012, mfumo wa malipo ya uzeeni wa china umekuwa katika mgogoro kwani umekabiliwa na upungufu wa kiasi cha fedha cha dola za marekani trilioni 2.9.
moreover, since 2012, china’s pension system has been in crisis with a shortfall of 2.9 trillion us dollars.
ishara ya kuwa uchumi wa china upo karibu na kuwa wa pili kwa ukubwa duniani imejitokeza leo kutokana na toleo la takwimu za ukuaji (uchumi) za japani katika robo ya pili ya pili.
indication that china's economy is close to second largest in the world came today with the release of japan's growth figures for the second quarter.