Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
ambapo mwanga wake unatokana na mabomu.
where sunshine is explosions.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwamko huu sio kwamba unatokana na tamaa za kutaka utajiri au faida ya vitu.
this awakening is not from greed or material profit.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ama kwa hakika upinzani huu unaotolewa na fair hautazami mambo kwa haki bali unatokana na kiburi tu.
fair’s opposition is dishonest and wrongheaded.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hivyo basi, imani inatokana na kuusikiliza ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la kristo.
so then faith cometh by hearing, and hearing by the word of god.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa lahaja ya watu wa tunisia,msemo houmani unatokana na neno houma, ambalo lingeweza kutafsiriwa kama 'mtaa wa wachapakazi'.
in the tunisian dialect, the adjective houmani derives from the noun houma, which could be translated to a 'working-class district'.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
uteuzi wake unatokana na neema yake, na si kwa sababu ya matendo yao. maana, kama uteuzi wake ungetegemea matendo ya watu, neema yake haingekuwa neema tena.
and if by grace, then is it no more of works: otherwise grace is no more grace. but if it be of works, then is it no more grace: otherwise work is no more work.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ningependa kulijulisha taifa kwamba uharibifu wa vyakula kwenye shirika letu la hifadhi ya chakula kwa sehemu kubwa unatokana na vifaa duni vya kuhifadhia…ili kukabiliana na changamoto hii, serikali imeanza kutekeleza mipango ya kujenga vifaa vya kudumu vya kuhifadhia.
i wish to inform the nation that most of the waste under the fra we have been experiencing is due to inadequate and unsuitable storage facilities… in order to address this challenge, government has begun to put in place programs to build additional storage facilities as a long-term measure.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
umaarufu wa haraka wa mradi huu unatokana haswa na urahisi wake: wachangiaji wanaweka tu kiungo habari katika picha zao na kuandika #nepalphotoproject, na kisha kujumuisha na maelezo kidogo yanayohusiana muktadha wa picha pamoja na wahusika katika picha ile.
the increasing popularity of the project is due primarily to its simplicity: contributors merely add a hashtag to their images, writing #nepalphotoproject, and include a short caption about the photo's context and characters.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: