Usted buscó: vyovyote unavyotaka (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

vyovyote unavyotaka

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

"mila hii haivumiliki kwa vyovyote."

Inglés

"this should not be tolerated at all."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

vyovyote itakavyokuwa, unafikiri jamii hii italipokeaje hili?

Inglés

whenever it happens, how is this community going to react?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hakukuwa na vitanda vyovyote au magodoro," alisema "tulilala sakafuni.

Inglés

there weren't any beds or mattresses,” he says. “we slept on the floor.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

vita vya wenyewe kwa wenyewe syria, hatika hali mbaya ilivyo, haihusu pakistani kwa vyovyote vile.

Inglés

the syrian civil war, tragic as it is, has nothing to do with pakistan.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na vyovyote vile, tukikuonyesha baadhi ya tunayo waahidi, au tukakufisha kabla yake, marejeo yao ni kwetu.

Inglés

when if we show you them suffering our retribution or you die before their suffering, (they will not be able to escape our punishment) they will all return to us.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

swali la 9: je, kuna vikwazo vyovyote vya mawasiliano ambavyo umekumbana navyo katika rosca yako?

Inglés

question 9: are there any communication obstacles you have encountered in your rosca?

Última actualización: 2021-10-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

tangia hapo ... kwa kusema kweli, tangia hapo, watu wapo mitaani...wale walioshindwa walikuwa na majeraha mabaya sana kwa vyovyote vile.

Inglés

since then...well, since then, people are in the streets...well, those who had not had injuries that were too serious in any case.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

chochote kinaweza kusemwa kuhusu michael jackson, vyovyote vile mtu anavyomfikiria – jambo moja liko wazi: aliandika kielelezo cha wakati.

Inglés

whatever might be said about michael jackson, whatever one might think of him - one thing is certain: he defined an era.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa vyovyote mjadala kuhusu vuvuzela ingeanzisha kelele kubwa lakini kwa baadhi ya wachambuzi wa mambo wa afrika kusini mabishano hayo yamegeuka kuwa sawa na mgogoro wa ukoloni mambo-leo.

Inglés

the debate around the vuvuzela was always going to generate big noise but for some south african commentators it has become almost a neo-colonial conflict.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

na vyovyote vile, tukikuonyesha baadhi ya tunayo waahidi, au tukakufisha kabla yake, marejeo yao ni kwetu. kisha mwenyezi mungu ni shahidi wa wanayo yafanya.

Inglés

and if we show you something of what we threaten them with, or cause you to die, yet to us is their return, and allah is the bearer of witness to what they do.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

licha ya ukweli kwamba wengi wao katika hawa ni wahindi wa hali ya juu, wanaomiliki biashara nyingi na wao wenyewe ni matajiri - wanapenda sana kunieleza kwamba kwa vyovyote mimi pia lazima niwe mtu tajiri.

Inglés

despite the fact that most of these are actually indian elites, owners of chains of businesses and are wealthy themselves – they love to point out that i must be wealthy.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

basi, paulo alisimama mbele ya baraza la areopago, akasema, "wananchi wa athene! ninaona kwamba ninyi, kwa vyovyote, ni watu wa dini sana.

Inglés

then paul stood in the midst of mars' hill, and said, ye men of athens, i perceive that in all things ye are too superstitious.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

pale ambapo afisa aliyeidhinishwa ana sababu ya kuamini kwamba, vifaa vyovyote vya uvuvi, chombo, samaki au bidhaa ya samaki imeachwa kwa madhumuni ya kuzuia mashtaka, atatuma ombi kortini kwa amri ya kutupa chombo cha gia, samaki au bidhaa ya uvuvi.

Inglés

any person, who contravenes the provisions of this act other than those with specified penalties, upon conviction shall be liable to a fine of not less than one hundred thousand shillings and not more than one million shillings or to imprisonment for a term of not less than two years and not more than five years or to both such fine and imprisonment.

Última actualización: 2021-07-01
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,790,030,866 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo