Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
wachapa kazi , anajituma sana
Última actualización: 2021-04-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
houmani lina maana ya mtu anayeishi katika eneo la wachapa kazi. eneo la tabaka la wachapa kazi nchini tunisia hukulikana kama houma...
houmani refers to someone living in a working class area.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
(kituo hicho) kimeanzishwa kukuza wasifu wa waandishi werevu, na wachapa kazi waliyoyatoa maisha yao kuwatumiakia watu dunia nzima.
it is established to promote the profile of the brave, hardworking journalists who devoted their lives to serve their people worldwide.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
sitakuwa nimetenda haki kama sitataja kazi za watafiti wetu wa kike na watafiti wakosoaji ambao, hatuna budi kusema, wamejidhibitisha kuwa wachapa kazi hodari miongoni mwa wanachama wa timu yetu ya mtandao wa teknolojia wa kutetea uwazi.
i would be remiss to not highlight the work of our female researchers and research reviewers who, it must be said, have proven themselves to be the hardest working members of our team on the technology for transparency network.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: