Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
watu wenye kujidai huwa wanavumiliwa kwa mda fulani tu, hata kama ni wajamaika, na hata wangekimbia kasi namna gani.
obnoxious men are are tolerated for only so long, even if they are jamaican, and no matter how fast they can run.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kama kuna jambo ambalo sisi wajamaika tunaweza kutarajiwa, ni kufurahia ukweli kwamba tunacho kiwanda cha kutengeneza wakimbiaji kasi duniani.
if it's one thing that we jamaicans can be counted on, it's to enjoy the fact that we have the world's greatest sprint factory.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kabla ya ushindi, kuna mabloga wengine walikuwa wakitania kwamba "dawa kabambe" inayopelekea ushindi wa hali juu namna hii kutoka kwa wajamaika ni ile wahindi wa magharibi wanayoiita "chakula cha buluu" - yaani vyakula kama magimbi na mizizi mingine mingine.
prior to the win, some bloggers were mischievously making fun of the fact that the "super-drug" behind the stellar performances from the jamaicans was what west indians refer to as "blue food" - hearty staples such as yams and other ground provisions.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible