Usted buscó: wakiongozwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

wakiongozwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

maana hakuna ujumbe wa kinabii unaotokana na matakwa ya binadamu, bali watu walinena ujumbe wa mungu wakiongozwa na roho mtakatifu.

Inglés

for the prophecy came not in old time by the will of man: but holy men of god spake as they were moved by the holy ghost.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tarehe 29, januari 2020, janssen pharmaceutical companies, wakiongozwa na hanneke schuitemaker, walitangaza kuwa walianza kushughulikia kutengeneza chanjo.

Inglés

around 29 january 2020, janssen pharmaceutical companies, led by hanneke schuitemaker, announced that it had begun work on developing a vaccine.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

waasi ndani ya chama hicho wakiongozwa na katibu mkuu wa mdc tendai biti walimsimamisha morgan tsvangirai na vigogo wengine kwa tuhuma za kuzuia mabadiliko ya uongozi na kushindwa kumng'oa rais robert mugabe.

Inglés

rebels within the party led by mdc secretary general tendai biti suspended morgan tsvangirai and other senior officials accusing them of resisting leadership change and failing to oust president robert mugabe.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

baada ya kupitishwa, museveni aliendelea kuwa na msimamo usioeleweka: alidai imekuwaje muswada upitishwe bila yeye kujulishwa, na kwa haraka kiasi kile, tena na idadi ndogo ya wabunge wakiongozwa na spika kadaga.

Inglés

after its passing, museveni continued to pursue an ambiguous position: he claimed how the bill was passed without his consultation, and in a rushed manner, by a small number of mps led by speaker kadaga.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

sasa, msalaba mwekundu kenya wenyewe wamekuwa wakifanya kazi kubwa, lakini wana tatizo kwamba wafanyakazi wao wengi bado wanategemea sana kalamu na karatasi (na kuna kikundi cha watu wengine, wakiongozwa na nivi wa elimu, wanaojaribu kutengeneza mfumo wa "database" utakaokuwa wa humu humu nchini ili kufanya kazi hii iwe ya kidijitali bila kulazimika kuweka majina halisi ya watu mtandaoni).

Inglés

now, the kenya red cross itself has been doing incredible work, but they have a problem with a lot of their stuff still being paper and pen (and there’s another group working on a locally hosted database system to digitize this without putting real people’s names online, run by nivi of elimu).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,779,097,324 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo