Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
walichoma nyumba yetu. tulibakiwa tu na nguo tulizokuwa tumevaa. wanajeshi walidai kuwa, watu jamii ya lumad hawapaswi kwenda shule.
they burned our house. only the clothes we wore were saved. according to the soldiers, the lumad are not allowed to study.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa raia wengi wa wavuti wa kichina, tukio hili limewakumbusha vita ya pili ya mihadarati iliyopiganwa katika karne ya 19 ambapo majeshi ya uningereza yaliivamia china kwa sababu maofisa wa kichina walichoma moto mihadarati iliyozwa kwa uingereza.
to many chinese netizens, the incident reminded them of the 2 opium wars fought in 19 century that british troop invaded china because chinese officials burned up the opium sold by british.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wafanyabiashara kutoka eneo la gamarra , kituo maarufu cha viwanda vya nguo na ambako ndiko lilipo eneo la kibiashara jijini lima, walichoma nguo zilizoingizwa kutoka china katika mitaa kupinga biashara hiyo ya nguo zinazouzwa bei ndogo ambazo, kwa mujibu wao, hufanya biashara zao kufilisika.
merchants from the gamarra area, a well-known center of textile manufacturing and commercialization in lima, burned imported chinese clothing in the streets as a protest over the low priced chinese garments which, according to them, make their businesses go bankrupt.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hata hivyo, kuna wachache, bila kujali ni wachache kiasi gani, walipora vifaa na mahitaji yasiyo ya msingi, walifanya ujambazi majumbani, na kwa makusudi walichoma moto maduka, bila kujali ukweli kwamba serikali ya chile iliruhusu watu kuchukua mahitaji, kama vile maziwa, maziwa ya unga ya watoto, mikate na unga.
nevertheless, a minority, however small, looted non-essentials, robbed homes, and intentionally set fire to department stores, despite the fact that the chilean government allowed people to take essentials, such as milk, baby formula, bread, and flour.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: