Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
wanawake wa ki-hindu walioolewa hujipaka sindoor (aina fulani ya chokaa ya rangi) kwenye mapaji ya nyuso zao na ni jambo la kawaida katika maeneo mengi katika nchi za india na nepali.
hindu married women wear sindoor (vermilion power) on their forehead and this practice is common in many parts of india and nepal.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa mfano, kwa mujibu wa taasisi ya taifa ya takwimu ya madagaska (insat) pamoja na mfuko wa takwimu ya watu wa umoja wa mataifa (unfpa), mmoja kati ya wanawake watano walioolewa wanaopenda kupangilia uzazi au kuzuia mimba hawana elimu ya uzazi wa mpango (asilimia 19), na kiwango cha utoaji mimba kinakadiriwa kufikia mwanamke mmoja kati ya kila wanawake 10 wanaojifungulia katika vituo vya afya.
for example, one out of five married women who wishes to space out or limit pregnancies has no access to family planning services (19 percent), and the abortion rate is estimated at one out of every 10 live births, according to the madagascar national institute of statistics (insat) and the united nations fund for population (unfpa).
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: