Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
na kwa wale walio mahospitalini wakiteseka, wanachoweza kukiona ni sura za madaktari na manesi waliovalia mavazi kama roboti wakijaribu kuwahudumia.
and for those in hospitals suffering, all they see are masks and robot-looking suits of doctors and nurses caring for them.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
siku zote nilipenda kupita mbele ya walinzi wa makaburi; waliovalia mavazi ya kitamaduni ya rangi ya chungwa iliyokoza na kuegemea mti mkubwa ulikuwa mbele, walisubiri bila kuchoka ili kusalimu wageni wanaofuatia.
i always loved passing the guards of the tombs; dressed in the traditional saffron-colored robe and leaning against the big tree out front, they waited patiently to greet the next set of visitors.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kuanzia januari 31, 2011 majira ya saa 12 jioni kwa saa za mashariki(est), maudhui katika ukurasa huo yalijumuisha zaidi ya picha 130 zinazizoonyesha wanawake wa rika mbalimbali, pamoja na baadhi waliovalia mabuibui (burqa), wengine waliovalia vilemba na wengine waliovalia nguo za kimagharibi.
as of january 31, 2011 at 6:00 pm us eastern standard time (est), the material on the page included four albums with more than 130 images portraying women of varying ages, including some dressed in burqas, others wearing head scarves and some in more western attire.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: