Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
tathmini za wapinzani
reflections from the opposition
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
akaunti imeibwa na wapinzani wake
account hacked by his opponents
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
matukio ya kuuawa kisiasa kwa wapinzani yamekuwa yakiripotiwa nje ya nchi hiyo.
assassinations of opposition members have also been reported outside the country.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
urusi: wapinzani wapumbazwa na uchaguzi wa awali, wapoteza uchaguzi halisi
russia: opposition distracted by virtual elections, loses real elections · global voices
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wapinzani wetu walitaka dunia kuamini kinyume, kwamba ukosefu wa chakula usingekwepeka.
our detractors wanted the world to believe the opposite, that food crisis was imminent.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
katika mji wa shiraz, wapinzani wanaoonyeshwa katika video hii waliichoma moto picha ya ahmadinejad.
in shiraz, protesters shown in this video burned president mahmoud ahmadinejad's photo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mlango uko wazi kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani nao ni wengi.
for a great door and effectual is opened unto me, and there are many adversaries.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hili litamfanya jonathan arudishe imani kwa wale wapinzani wake wanaohoji uwezo wake na utayari wake wa kukabiliana na boko haram.
that would make jonathan have something to show the many critics that have questioned both his capability and commitment to respond to boko haram.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hofu hiyo imekuwa kubwa kufuatia majaribio ya zamani aliyoyafanya neves kuwanyamazisha wapinzani wa utawala wake kwenye mitandao ya kijamii.
suspicions have also been fueled by neves' various past attempts to quiet criticism of his leadership on social media.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwingine akasema kwamba hii imefanywa na kitengo cha usalama wa taifa ili kuwaonesha raia hatari za kushirikiana na wapinzani wa serikali.
other suggest that it was made up by the national security services to show people the dangers of supporting the opposition movement.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mpango huo ulikosolewa vikali na wapinzani wake, walioutafsiri kama mchezo wa rais aliyepo madarakani kufanya jaribio la kutaka kugombea kwa muhula wa tatu.
this manoeuvre was the subject of severe criticism from a section of the opposition, who saw it as an attempt by the current president to stand for office a third time.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
nikawa mkiwa asiye na rafiki, kupitia mimi, walitaka kuwatisha wapinzani wa mpango huo wa kutafuta kuchaguliwa kwa kipindi cha nne cha uraist.
i became persona non-grata. through me, they want to thwart the opposition who is fighting against a fourth term for the president.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kutoka cuba hadi korea ya kaskazini, maisha yake ya ajabu yanatoa matumaini na matarajio ya demokrasia ya wapinzani, wafungwa wa kisiasa na wanaharakati duniani kote.
from cuba to north korea, his extraordinary life gives endless hope to the democratic aspirations of dissidents, political prisoners and activists throughout the world.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
baadhi, akiwemo mwanablogu anayeongoza wa mlengo wa kiislam , iliita hali hii kama mkakati ambao haukupimwa vizuri ambao ulisaidia wapinzani nchini iran kutawala eneo yakini.
some, including one leading islamist blogger , called it a miscalculated strategy that helped the iranian opposition dominate in the virtual realm.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
asubuhi ya februari 18, 2014, wapinzani wa serikali walijaribu kuwasilisha muswada bungeni ili kurudisha toleo la zamani la katiba ya nchi hiyo, ambalo lilidhibiti mamlaka ya rais.
in the morning of february 18, 2014, ukraine's opposition tried to register a bill in parliament to bring back the old version of the country's constitution, one that significantly limits presidential powers.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
aécio neves amefungua mashtaka dhidi ya mtandao wa twita kudai taarifa za watumiaji 66 ziwekwe wazi; hivi sasa wanablogu wanadai anatumia anuani bandia kujaribu kupambana na wapinzani wake kwenye mtandao wa youtube.
aécio neves has filed suit against twitter demanding it discloses information on 66 users; now bloggers claim he's using fake accounts to deal with negative youtube videos.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
(swali ambalo) afrogay atamjibu kiongozi wa askari wanaowalowesha wapinzani kwa rangi ya waridi: ahsanteni jamaa lakini rangi ya waridi ni sitiari tu.
to which afrogay would say to the head of the military guys drenching opposition in pink: thanks guys but the pink color is really just a metaphor.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa nyongeza, nchi hiyo ilikuwa kimbilio la wanaharakati wa kimarekani wa haki za kiraia, wanachama wa chama cha black panther kama vile pete o'neal na geronimo, pamoja na wapinzani wa vita vya vietnam.
in addition, the country gave safe haven to us civil-rights activists, black panther party members such as pete o'neal and geronimo, and vietnam war resisters.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
@acarvin: video ya kusikitisha inaonyeshwa kwenye kituo cha al jazeera hivi sasa -ikiwaanesha jamaa kadhaa wakirusha mawe, kila mmoja akimwulika kwa toshi ya kijani ili kupata shabaha kwa wapinzani wao
@acarvin: surreal footage on aje now - over a dozen guys throwing rocks, each lit up by a green laser to be target by opposing side
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
jammeh, alitwaa madaraka kwa mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1994, kwa miaka mingi amekuwa akichukiwa na dunia kwa utawala wake wa kikandamizaji, utawala ambao umejaa mauaji, kubanwa kwa uhuru wa habari na maoni, kuuawa kwa mashoga, ukandamizaji mkubwa wa wapinzani wa kisiasa:
jammeh, who came to power in a 1994 coup, for years has earned the world's ire for his repressive rule, one that has been defined by executions, restricted freedom of the press and expression, persecution of homosexuals, and heavy-handed supression of political dissent:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: