Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
pamoja na juhudi zote hizi, madagaska inakabiliwa na mapungufu kadhaa yanayokwamisha uboreshaji wa mambo muhimu katika utoaji wa huduma ya afya.
despite these efforts, madagascar is faced with certain weaknesses that hinder improvement in health indicators.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
video iliyoandaliwa na results for development (matokeo kwa maendeleo), shirika la kimataifa lisilo la kibiashara ambalo lina malengo ya kutafuta suluhisho la matatizo sugu yanayokwamisha maendeleo, iliwekwa kwenye mtandao wa intaneti siku za hivi karibuni ili kuwahamasisha watu wa uganda kuvunja ukimya wao na kupigania haki ya afya zao.
a video produced by results for development, an international non-profit organisation whose mission is to unlock solutions to tough development challenges, was released online recently to encourage ugandans to break their silence and take control of their health rights.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: