Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
maana ya jina la yolanda
meaning of the name yolanda
Última actualización: 2020-04-14
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
maana ya jina la yolanda kwa kiswahili
meaning of yolanda name in swahili
Última actualización: 2022-09-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
miezi kadhaa baada ya yolanda, leyte bado ni mji uliotawaliwa na mahema.
months after yolanda, leyte is still a tent city.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
chombo cha habari cha global kimeonyesha namna serikali yetu ilivyoshidwa kuwajibika kwa ajili ya waathirika wa yolanda.
global media is showcasing our government's lack of action for the yolanda victims.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
sisi tunachukizwa na wanasiasa na makundi ya kisiasa ambayo hujitahidi kuweka vizingiti katika kutumia mazingira magumu ya waathirika wa yolanda.
we detest politicians and political groups who strive to put blinders in exploiting the vulnerability of victims of yolanda.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kwa ujumla, misaada haiwafikii kwa muda muafaka watu hawa waliosalimika katika kimbunga haiyan, kinachojulika kwa jina maarufu, yolanda.
aid is simply not arriving quickly enough to these communities that survived haiyan, locally referred to as yolanda.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
miezi sita baada ya kimbunga cha yolanda, zaidi ya mwaka baada ya maafa yaliyopita hatujui hata ni nini hasa wanajamii walioathirika wanachohitaji?
six months after yolanda, more than a year after the previous disasters we don't even know what exactly the affected communities need?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
miezi sita baada ya kimbunga yolanda kuathiri chuo chake cha palo, leyte, bado hakuna mpango wa wazi kwa ajili ya ukarabati au kuhamishwa kwa shule kuu ya sayansi ya afya.
six months after typhoon yolanda decimated its campus in palo, leyte, there is still no clear plan for the rehabilitation or relocation of the up school of health sciences.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
siku sita zimepita tangu kimbunga kikubwa kijulikanacho kwa jina la haiyan (yolanda) kuikumba sehemu ya kati ya ufilipino lakini misaada ya kibinadamu bado haijafika kwa waathirika wengi.
also see haiyan devastates the philippines, our special coverage page. six days have passed since super typhoon haiyan (yolanda) hit the central part of the philippines but relief is not yet given to many survivors.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
miezi sita iliyopita, maelfu walifariki katika eneo la mashariki mwa visayas nchini philippines baada ya kukumbwa na kimbunga kikubwa cha haiyan (ama kwa jina lingine yolanda).
six months ago, thousands died in eastern visayas in the philippines after it was hit by super typhoon haiyan (local name: yolanda).
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: