Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
wakati huo, mtawala herode alisikia sifa za yesu.
in illo tempore audiit herodes tetrarcha famam ies
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mose alistaajabu sana kuona jambo hilo hata akasogea karibu ili achungulie; lakini alisikia sauti ya bwana:
moses autem videns admiratus est visum et accedente illo ut consideraret facta est vox domin
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
yesu alisikia kwamba walikuwa wamemfukuzia mbali, naye alipomkuta akamwuliza, "je, wewe unamwamini mwana wa mtu?"
audivit iesus quia eiecerunt eum foras et cum invenisset eum dixit ei tu credis in filium de
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kila mtu huko efeso, myahudi na asiye myahudi, alisikia juu ya tukio hilo. wote waliingiwa na hofu, wakalitukuza jina la bwana yesu.
hoc autem notum factum est omnibus iudaeis atque gentilibus qui habitabant ephesi et cecidit timor super omnes illos et magnificabatur nomen domini ies
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini mtoto wa kiume wa dada yake paulo alisikia juu ya mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha paulo juu ya njama hiyo.
quod cum audisset filius sororis pauli insidias venit et intravit in castra nuntiavitque paul
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kila mtu katika yerusalemu alisikia habari za tukio hilo na hivyo, kwa lugha yao, wakaliita lile shamba hekeli dama, maana yake, shamba la damu.)
et notum factum est omnibus habitantibus hierusalem ita ut appellaretur ager ille lingua eorum acheldemach hoc est ager sanguini
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, mfalme herode alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za yesu zilienea kila mahali. baadhi ya watu walikuwa wakisema, "yohane mbatizaji amefufuka kutoka wafu, ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake."
et audivit herodes rex manifestum enim factum est nomen eius et dicebat quia iohannes baptista resurrexit a mortuis et propterea inoperantur virtutes in ill
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible