De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
walipofika yerusalemu walikaribishwa na kanisa, mitume na wazee; nao wakawapa taarifa juu ya yote mungu aliyoyafanya pamoja nao.
cum autem venissent hierosolymam suscepti sunt ab ecclesia et ab apostolis et senioribus adnuntiantes quanta deus fecisset cum illi
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.
omnes enim nos manifestari oportet ante tribunal christi ut referat unusquisque propria corporis prout gessit sive bonum sive malu
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, makuhani wakuu na walimu wa sheria walipoyaona maajabu aliyoyafanya yesu, na pia watoto walipokuwa wanapaaza sauti zao hekaluni wakisema: "sifa kwa mwana wa daudi," wakakasirika.
videntes autem principes sacerdotum et scribae mirabilia quae fecit et pueros clamantes in templo et dicentes osanna filio david indignati sun
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible