Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa;
وانه دفن وانه قام في اليوم الثالث حسب الكتب.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
ان الله قد اكمل هذا لنا نحن اولادهم اذ اقام يسوع كما هو مكتوب ايضا في المزمور الثاني انت ابني انا اليوم ولدتك.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini nawaambieni, eliya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake."
لكن اقول لكم ان ايليا ايضا قد أتى وعملوا به كل ما ارادوا كما هو مكتوب عنه
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
akawaambia, "ndivyo ilivyoandikwa, kwamba kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka wafu,
وقال لهم هكذا هو مكتوب وهكذا كان ينبغي ان المسيح يتألم ويقوم من الاموات في اليوم الثالث.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
hapo nikasema: niko hapa ee mungu, tayari kufanya mapenzi yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria."
ثم قلت هانذا اجيء في درج الكتاب مكتوب عني لافعل مشيئتك يا الله.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii isaya: "tazama, namtuma mjumbe wangu akutangulie; yeye atakutayarishia njia yako.
كما هو مكتوب في الانبياء. ها انا ارسل امام وجهك ملاكي الذي يهيّئ طريقك قدامك.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
ndivyo ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii isaya: "sauti ya mtu imesikika jangwani: mtayarishieni bwana njia yake; nyosheni mapito yake.
كما هو مكتوب في سفر اقوال اشعياء النبي القائل صوت صارخ في البرية أعدّوا طريق الرب اصنعوا سبله مستقيمة.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "nao wawili watakuwa mwili mmoja."
ام لستم تعلمون ان من التصق بزانية هو جسد واحد لانه يقول يكون الاثنان جسدا واحدا.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kisha nikawaona watu wakubwa na wadogo, wamesimama mbele ya kiti cha enzi, na vitabu vikafunguliwa. halafu kitabu kingine, yaani kitabu cha uzima, kikafunguliwa pia. wafu wakahukumiwa kadiri ya matendo yao, kama ilivyoandikwa ndani ya vitabu hivyo.
ورأيت الاموات صغارا وكبارا واقفين امام الله وانفتحت اسفار وانفتح سفر آخر هو سفر الحياة ودين الاموات مما هو مكتوب في الاسفار بحسب اعمالهم.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad: