Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
sasa ndugu, napenda kuwakumbusha ile habari njema niliyowahubirieni nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake.
واعرّفكم ايها الاخوة بالانجيل الذي بشرتكم به وقبلتموه وتقومون فيه
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
yesu alikuwa bado anasema na umati wa watu wakati mama yake na ndugu zake walipofika na kusimama nje, wakitaka kusema naye.
وفيما هو يكلم الجموع اذا امه واخوته قد وقفوا خارجا طالبين ان يكلموه.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto.
فلما سمعوا من الملك ذهبوا واذا النجم الذي رأوه في المشرق يتقدمهم حتى جاء ووقف فوق حيث كان الصبي.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
muwe waangalifu basi, na salini daima ili muweze kupata nguvu ya kupita salama katika mambo haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele ya mwana wa mtu."
اسهروا اذا وتضرعوا في كل حين لكي تحسبوا اهلا للنجاة من جميع هذا المزمع ان يكون وتقفوا قدام ابن الانسان
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
epafra, mwananchi mwenzenu na mtumishi wa kristo yesu anawasalimuni. daima anawaombeeni ninyi kwa bidii ili mpate kusimama imara, mkomae na kuwa thabiti kabisa katika mambo yote anayotaka mungu.
يسلم عليكم ابفراس الذي هو منكم عبد للمسيح مجاهد كل حين لاجلكم بالصلوات لكي تثبتوا كاملين وممتلئين في كل مشيئة الله.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"mnaposali, msifanye kama wanafiki. wao hupenda kusimama na kusali katika masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.
ومتى صلّيت فلا تكن كالمرائين. فانهم يحبون ان يصلّوا قائمين في المجامع وفي زوايا الشوارع لكي يظهروا للناس. الحق اقول لكم انهم قد استوفوا اجرهم.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible