Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
miezi miwili baada ya uchaguzi wa hivi karibuni, italia ina serikali mpya.
بعد شهرين من الانتخابات الأخيرة، إيطاليا لديها حكومة جديدة.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
وامرأة بنزف دم منذ اثنتي عشرة سنة.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya bwana wa dunia.
هذان هما الزيتونتان والمنارتان القائمتان امام رب الارض.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwaka 2011, aliwekwa ndani kwa miezi miwili, akijikuta akikosa kuzaliwa kwa mwanae wa kwanza.
وفي 2011 أمضى علاء شهرين في السجن دون أن يتمكن من حضور ولادة طفله الأول.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.
واذا امرأة نازفة دم منذ اثنتي عشرة سنة قد جاءت من ورائه ومسّت هدب ثوبه.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ashenafi alikuwa ndio kwanza ameanzisha umoja wa wanasheria wanawake miaka miwili iliyopita kwa lengo la kupigania haki za wanawake kwa mujibu wa katiba mpya ya ethiopia.
أسست اشنافي جمعية محامي المرأة قبل عامين للدفاع عن حقوق المرأة بما يوافق للدستور الإثيوبي الجديد حينئذ.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ikiwa ndio wakati pekee wa jamii yetu hai kukutana ana kwa ana, mikutano yetu ifanyikayo kila baada ya miaka miwili ni ya muhimu sana kwa maendeleo ya jumuia yetu.
تعتبر مؤتمرات قمة الأصوات العالمية، والتي تجري تقريبًا كل عامين، من الأهمية بمكان لنمو المنظمة، حيث أنها الفرص الوحيدة المتاحة لنا للتلاقي وجهًا لوجه.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
katika hotuba hiyo iliyokuwa fupi, mlinzi wa misikiti miwili mitukufu aliwashukuru viongozi wa dini, waandishi na wizara ya mambo ya ndani kwa juhudi walizofanya kutetea ufalme.
فقدم في كلمته القصيرة شكره للعلماء ورجال الدين وأصحاب القلم ووزارة الداخلية على جهودهم التي بذلوها للدفاع عن وطنهم.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa kuwa binti yake wa pekee, mwana wa pekee mwenye umri wa miaka kumi na miwili, alikuwa mahututi. yesu alipokuwa akienda, watu wakawa wanamsonga kila upande.
لانه كان له بنت وحيدة لها نحو اثنتي عشرة سنة وكانت في حال الموت. ففيما هو منطلق زحمته الجموع
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na ile milango kumi na miwili ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.
والاثنا عشر بابا اثنتا عشرة لؤلؤة كل واحد من الابواب كان من لؤلؤة واحدة وسوق المدينة ذهب نقي كزجاج شفاف.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mkuu wa jeshi alimwendea paulo, akamtia nguvuni na kuamuru afungwe minyororo miwili. kisha akauliza, "ni mtu gani huyu, na amefanya nini?"
حينئذ اقترب الامير وامسكه وامر ان يقيد بسلسلتين وطفق يستخبر ترى من يكون وماذا فعل.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.
حينئذ لما رأى هيرودس ان المجوس سخروا به غضب جدا. فارسل وقتل جميع الصبيان الذين في بيت لحم وفي كل تخومها من ابن سنتين فما دون بحسب الزمان الذي تحققه من المجوس.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"kama mkono au mguu wako ukikukosesha, ukate na kuutupa mbali nawe. ni afadhali kwako kuingia katika uzima bila mkono au mguu, kuliko kutupwa katika moto wa milele ukiwa na mikono miwili na miguu yako miwili.
فان اعثرتك يدك او رجلك فاقطعها وألقها عنك. خير لك ان تدخل الحياة اعرج او اقطع من ان تلقى في أتون النار الابدية ولك يدان او رجلان.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
alaa abd el fattah alifungwa jela chini ya utawala wa hosni mubarak kwa siku 45 na tena na baraza kuu la vikosi vya jeshi mwaka 2011, ambapo yeye alibakia jela kwa karibu miezi miwili. vilevile alikakabiliwa na mashtaka chini ya utawala wa mohamed morsi mwaka wa 2013, pamoja mwandishi maarufu anayetumia jina la uandishi bassem youssef, katika kile wengi walijua kuwa mashtaka ya kisiasa kutumika kama mbinu ya vitisho.
حبس علاء عبد الفتاح خمسة وأربعين يوماً أثناء نظام مبارك وحبس مجدداً أثناء حكم المجلس العسكري في 2011، عندما ظل في السجن لشهرين تقريباً. واجه علاء أيضاً تهم بالتحريض من حكومة محمد مرسي في 2013، وذلك جنب إلى جنب مع باسم يوسف، والتي اعتبرها الكثيرون تهم سياسية بهدف التخويف والتهديد.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: