Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
فامتلأت المدينة كلها اضطرابا واندفعوا بنفس واحدة الى المشهد خاطفين معهم غايوس وارسترخس المكدونيين رفيقي بولس في السفر
mji wote ukajaa ghasia. wakawavamia gayo na aristarko, wenyeji wa makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
لاني اعلم نشاطكم الذي افتخر به من جهتكم لدى المكدونيين ان اخائية مستعدة منذ العام الماضي. وغيرتكم قد حرّضت الاكثرين.
ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa makedonia. niliwaambia: "ndugu zetu wa akaya wako tayari tangu mwaka jana." hivyo, moto wenu umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
ثم نعرفكم ايها الاخوة نعمة الله المعطاة في كنائس مكدونية.
ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo mungu ameyajalia makanisa ya makedonia.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad: