Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
das volk aber sprach: das ist der jesus, der prophet von nazareth aus galiläa.
watu katika ule umati wakasema, "huyu ni nabii yesu, kutoka nazareti katika mkoa wa galilaya."
zwar meinte ich auch bei mir selbst, ich müßte viel zuwider tun dem namen jesu von nazareth,
kwa kweli mimi mwenyewe niliamini kwamba ni wajibu wangu kufanya mambo mengi kulipinga jina la yesu wa nazareti.
da fragte er sie abermals: wen suchet ihr? sie sprachen: jesum von nazareth.
yesu akawauliza tena, "mnamtafuta nani?" wakamjibu, "yesu wa nazareti!"
und es begab sich zu der zeit, daß jesus aus galiläa von nazareth kam und ließ sich taufen von johannes im jordan.
siku hizo, yesu alifika kutoka nazareti, mji wa galilaya, akabatizwa na yohane katika mto yordani.
und da sie alles vollendet hatten nach dem gesetz des herrn, kehrten sie wieder nach galiläa zu ihrer stadt nazareth.
hao wazazi walipokwisha fanya yote yaliyoamriwa na sheria ya bwana, walirudi makwao nazareti, mkoani galilaya.
und da sie sah petrus sich wärmen, schaute sie ihn an und sprach: und du warst auch mit jesus von nazareth.
alipomwona petro akiota moto, alimtazama, akamwambia, "hata wewe ulikuwa pamoja na yesu mnazareti."
und er kam gen nazareth, da er erzogen war, und ging in die schule nach seiner gewohnheit am sabbattage und stand auf und wollte lesen.
basi, yesu alikwenda nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya sabato, aliingia katika sunagogi, kama ilivyokuwa desturi yake. akasimama ili asome maandiko matakatifu kwa sauti.
denn wir haben ihn hören sagen: jesus von nazareth wird diese stätte zerstören und ändern die sitten, die uns mose gegeben hat.
kwa maana tulikwisha msikia akisema eti huyo yesu wa nazareti atapaharibu kabisa mahali hapa na kufutilia mbali desturi zile tulizopokea kutoka kwa mose."
als er aber zur tür hinausging, sah ihn eine andere und sprach zu denen, die da waren: dieser war auch mit dem jesus von nazareth.
alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, "mtu huyu alikuwa pamoja na yesu wa nazareti."
und kam und wohnte in der stadt die da heißt nazareth; auf das erfüllet würde, was da gesagt ist durch die propheten: er soll nazarenus heißen.
akahamia katika mji uitwao nazareti. ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: "ataitwa mnazare."
da machte sich auch auf joseph aus galiläa, aus der stadt nazareth, in das jüdische land zur stadt davids, die da heißt bethlehem, darum daß er von dem hause und geschlechte davids war,
yosefu pia alifanya safari kutoka mjini nazareti mkoani galilaya. kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa daudi alikwenda mjini bethlehemu mkoani yuda alikozaliwa mfalme daudi.
petrus aber sprach: gold und silber habe ich nicht; was ich aber habe, das gebe ich dir: im namen jesu christi von nazareth stehe auf und wandle!
kisha petro akamwambia, "sina fedha wala dhahabu lakini kile nilicho nacho nitakupa. kwa jina la yesu kristo wa nazareti, tembea!"
philippus findet nathanael und spricht zu ihm: wir haben den gefunden, von welchem moses im gesetz und die propheten geschrieben haben, jesum, joseph's sohn von nazareth.
naye filipo akamkuta nathanieli, akamwambia, "tumemwona yule ambaye mose aliandika juu yake katika kitabu cha sheria, na ambaye manabii waliandika habari zake, yaani yesu mwana wa yosefu, kutoka nazareti."
er aber sprach zu ihnen: entsetzt euch nicht! ihr sucht jesus von nazareth, den gekreuzigten; er ist nicht hier. siehe da die stätte, da sie ihn hinlegten!
lakini huyo kijana akawaambia, "msishangae. mnamtafuta yesu wa nazareti aliyesulubiwa. amefufuka, hayumo hapa. tazameni mahali walipokuwa wamemlaza.