Demander à Google

Vous avez cherché: diplomacy (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

Diplomacy

Swahili

Diplomasia

Dernière mise à jour : 2015-04-17
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

Debating laws, debating a budget, deciding on an electoral process and transitional justice and changing diplomacy.

Swahili

Kujadili sheria, kujadili bajeti, kuamua kuhusu zoezi la uchaguzi na kutolewa kwa haki ya mpito na kubadilika kwa diplomasia.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

Former NATO Assistant Secretary General for Public Diplomacy Kolinda Grabar Kitarović has been elected Croatia's first woman president, defeating the incumbent president in the first presidential elections since the small southeastern European country joined the European Union last year.

Swahili

Aliyekuwa Katibu mkuu wa NATO wa masuala ya uhusiano wa kimataifa Kolinda Grabar Kitarović amechaguliwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa nchi ya Croatia, kwa kumshinda Rais aliyemaliza muda wake katika uchaguzi wa kwanza kabisa mara baada ya nchi hii ndogo ya Ulaya ya Kusini kujiunga na Jumuia ya Umoja wa Ulaya mapema mwaka jana.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

The Catholic Church has done much and is still doing a lot but a lot more still has to be done.However, diplomacy though good in its own ways, must not be of too common usage in the Church because, a spade must be called a spade.

Swahili

Kanisa Katoliki limefanya mengi na linaendelea kufanya lakini mengi zaidi bado yanapaswa kufanywa. Hata hivyo, diplomasia hata kama ni nzuri katika namna yake, haitakiwi kutumika sana katika Kanisa kwa sababu, beleshi ni lazima liitwe beleshi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

Some of u r saying mCS was right in answering the way he did - I am saying the president needs to use diplomacy regardless - he should ask why they left n not castigate them - aint right at all!

Swahili

Baadhi yenu mnasema Rais alikuwa sahihi kwa majibu ya namna ile –- Mimi nasema rais anahitaji kutumia njia za kidiplomasia kwa mazingira yoyote –lazima aulize kwa nini waliondoka nchini na sio kuwafokea – haikuwa sahihi kabisa!

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

The meeting of Russia's top-bloggers with the Iranian Ambassador in Moscow three days after Hossein Derakhshan had been sentenced to 19.5 years of imprisonment for "anti-government propaganda" highlighted the clumsy attempts of the Iranian online diplomacy in Russia.

Swahili

Mkutano kati ya wanablogu wanaoongoza nchini Urusi na Balozi wa Irani jijini Moscow, siku tatu tu baada ya mwanablogu Hossein Derakshan kuhukumiwa kifungo cha miaka 19.5 jela kwa kile kilichoelezwa kuwa ni "kufanya propaganda zinazoipinga serikali" ulizionyesha wazi juhudi zisizoeleweka za diplomasia ya mtandaoni ya Irani nchini Urusi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK