Demander à Google

Vous avez cherché: expensive (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

Expensive hi

Swahili

Expensive

Dernière mise à jour : 2020-06-16
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

- It’ll be much more expensive

Swahili

- Lakini hilo litakuwa ghali sana.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

the opposite of the expensive word

Swahili

kinyume cha neno ghali

Dernière mise à jour : 2019-09-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

the opposite of the expensive word

Swahili

Ghali

Dernière mise à jour : 2019-07-08
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

In some cases that means more expensive tickets.

Swahili

Katika baadhi ya visa hiyo inamaanisha tiketi ghali zaidi.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

The race seems to have been dirty and expensive.

Swahili

Harakati za uchaguzi zinaonekana kuwa ziligubikwa na udanganyifu na matumizi makubwa ya fedha.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

The capital of Angola, Luanda, is a very expensive city.

Swahili

Mji mkuu wa Angola, Luanda, ni mji aghali sana.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

We were able to witness the price of freedom of expression is dearly expensive.

Swahili

Tumeweza kushuhudia gharama ya uhuru wa kujieleza kwa namna iliyotugharimu kupita kiasi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Electricity is also increasingly expensive commodity for most of the country’s citizens.

Swahili

Umeme unaendelea kuwa bidhaa ghali kwa raia wengi kuweza kumudu bei yake.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

I buy expensive cars, I buy expensive houses, I only drink Johnnie Walker.

Swahili

Ninanunua magari ya kifahari, ninanua nyumba za bei mbaya, ninakunywa Johnnie Walker pekee.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

In other words, I'm shooting down the argument that it would be too expensive to do.

Swahili

Kwa maneno mengine, ninamaliza majadiliano kwamba eti itakuwa ghali sana kufanya hivyo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Looking out across the bay from Chowpatty Beach, Mumbai at some of the most expensive land in the world.

Swahili

Kutoka ng’ambo ya ufukwe wa Chowpatty, Mumbai kutazama eneo moja wapo ghali zaidi duniani.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

The unique proposal is the group’s answer to lengthy and expensive annulment proceedings in the country.

Swahili

Pendekezo hili la kipekee ni jibu la kutatua tatizo la utaratibu mrefu na wa gharama wa kubatilisha ndoa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

“One of the challenges was that photographs are kind of hard to come by in Liberia and they are expensive to print.”

Swahili

“Moja wapo ya changamoto ilikuwa ni kwamba ni vigumu kupata picha nchini Liberia na ilikuwa gharama kubwa kuzichapisha."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

- Public transport here is not very good, but getting a car is very expensive. I would’ve got one

Swahili

- Usafiri wa umma hapa si mzuri sana, lakini kumiliki gari pia ni ghali mno, vinginevyo ningekuwa nimeshajipatia moja

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

According to a survey conducted in February by an English company, ECA International - Luanda ranks first among the most expensive cities in the world.

Swahili

Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa mwezi wa Pili na kampuni ya Kiingereza, ECA International – Mji wa Luanda ni wa kwanza kati ya miji ghali kupita yote duniani.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

The second most expensive yacht in the world, belonging to the son of Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, President of Equitorial Guinea - Public domain

Swahili

Boti ya pili kwa ughali wake duniani, ikiwa inamilikiwa na mwana wa Rais wa Guinea ya Ikweta Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Picha kwa matumizi ya umma

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

If you do find a way back home, be prepared that it may be expensive, inconvenient, and have unusual restrictions (such as no checked baggage).

Swahili

Ukipata njia ya kurudi nyumbani, jiandae kwamba inaweza kugharimu sana, usumbufu, na ina vikwazo visivyo vya kawaida (kama vile hakuna kubeba mizigo).

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

If you don't have expensive cameras and spare-time to journey to Alaska, another approach would be to read the experiences of people on the frontline.

Swahili

Kama huna kamera ghali na muda wa ziada kusafiri mapaka Alaska, namna nyingine unayoweza kuitumia ni kusoma uzoefu wa watu walio mstari wa mbele.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

The bulk of the maize is grown by peasant farmers who are faced with regular droughts during the rainy season, an unreliable and expensive supply of fertilizer, and difficulties transporting the commodity to markets.

Swahili

Sehemu kubwa ya mahindi inalimwa na wakulima wadogo ambao wanakabiliwa na hali ya ukame wa mara kwa mara hata nyakati za majira ya mvua, ugavi wa mbolea usioaminika na wenye gharama kubwa, na matatizo ya usafiri kati ya mashamba yao na yaliko masoko ya mahindi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK