Vous avez cherché: superintendent (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

on december 22, the ecuadorian television channel teleamazonas was taken off the air by the superintendent of telecommunications , under a provisional suspension of 72 hours.

Swahili

mnamo disemba 22, idhaa ya televisheni ya ecuador teleamazonas iliondolewa hewani na msimamizi wa mawasiliano , chini ya sheria ya kufungiwa kwa muda wa masaa 72.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

according to the superintendent, upon spreading the news, teleamazonas violated article 18, number 1 of the current constitution that establishes the right of all persons to "look for, receive, exchange, produce and spread true, verified, timely, diverse, uncensored facts, events, and general interest processes is and with ulterior responsibility."

Swahili

kwa mujibu wa msimamizi, kutokana kusambaza habari hizo, teleamazonas ilikiuka kifungu 18, namba 1 cha katiba ya sasa ambayo inaweka haki ya watu wote “kutafuta, kupokea, kubadilishana, kutengeneza na kusambaza habari, zilizothibitishwa, katika muda muafaka, zenye vyanzo mablimbali na tofauti tofauti, ambazo hazijachujwa pamoja na matukio yenye maslahi ya jumla kunaambatana na wajibu ambao haujulikani.”

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

every year, nearly 30 million children rely on schools to provide free or low-cost meals including breakfast, lunch, snacks, and even dinner.in alabama, where state-wide school closures as of 18 march have affected over 720,000 students, the state superintendent announced that staff in schools disproportionately affected by poverty would create meal distribution networks to provide food for students who rely on school lunches.

Swahili

kila mwaka, takriban watoto milioni 30 wanategemea shule kutoa chakula cha bure au cha bei nafuu ikiwa ni pamoja na kiamsha kinywa, chamcha, vitafunwa na hata chajio.kule alabama, amabpo kufungwa kwa shule kote nchini huko kulikoanza mnamo tarehe 18 machi kumeathiri zaidi ya wanafunzi 720,000, mratibu wa serikali alitangaza kwamba wafanyakazi katika shule ambao wameathriki vibaya na umaskini watatumika kuweka mitandao ya usambazaji wa vyakula ili kutoka chakula kwa wanafunzi wanaotegemea mlo za shule.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the superintendent of telecommunications justified the channel's closing because of the events of may 22, 2009, when it spread news based on assumptions regarding the exploitation of gas on the puná island that will affect the residents of the island, who make a living in the fishing industry.

Swahili

msimamizi wa mawasiliano alihalalisha kufungwa kwa idhaa hiyo kwa sababu ya matukio ya tarehe 22 mei, 2009, ambapo ilisambaza habari zilizotokana na dhana kuwa uchimbaji wa mafuta kwenye kisiwa cha puna kungewaathiri wakazi wa kisiwa hicho, ambao wanapata kipato chao kutokana uvuvi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK