Vous avez cherché: kidhibiti vyeti (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

nimeambatanisha na vivuli vya vyeti vyangu

Anglais

i have attached the shadows of my certificates

Dernière mise à jour : 2021-06-14
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

watu wanaokamilisha elimu ya juu kwa kawaida hupata vyeti, stashahada, au shahada ya kitaaluma.

Anglais

individuals who complete tertiary education generally receive certificates, diplomas, or academic degrees.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

au tutaanza kuwataka watu kuandikisha majina kama ‘sharina1’ kwenye vyeti vya kuzaliwa?

Anglais

or are we going to get people registering names like 1sharina for birth certificates?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kama tunahitaji kweli kujali vyeti vya uchunguzi wa afya, basi maswali yanayofuata yanayohitaji majibu: tutaishia wapi?

Anglais

if indeed we should be caring about medical reports, then the next questions to deal with would be: where are we going to draw the line?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ibo ilitaja kwamba ingewapa wanafunzi alama katika diploma zao au vyeti kulingana na "kazi walizofanya darasani" na "utaalamu wa kutahtmini, kazi kuntu na udhibiti wa ubora ambao tayari ulikuwa umekuzwa katika mpango huo."

Anglais

the ibo stated that it would award candidates their diplomas or certificates based on "their coursework" and "the established assessment expertise, rigor, and quality control already built into the programme."

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

endapo vyeti havina maana, ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote, hivi basi kwa nini waziri wa ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo rais ahmadinejad anaita (anakebehi) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana.

Anglais

if the certificates are useless, torn, paper why did ahmadinejad's minister pretend to have one... it is not the first time that ahmadinejad calls official documents torn papers.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kando na dawa ya kulinda ngozi, mchanganyiko changamano unaweza kuwa na asidi (asidi asetiki, asidi askobiki, asidi ya maziwa yaliyochachuka) kama kidhibiti cha ph, asidi inayopambana na viini ya benzoic na vilainishi vingine vya ngozi (aloe vera, vitamini, mentha, dawa kutoka kwenye miti).uchanganuzi tondoti wa chuo kikuu cha oregon shule ya afya ya umma ulionyesha kuwa sabuni za kawaida hufaa tu kama zilizvyo zile za hadhi ya watumiaji za kupambana na bakteria zilizo na madini ya triclosan katika kuzuia magonjwa na kuondoa bakteria kwenye mikono.

Anglais

besides the surfactant and skin-protecting agent, the sophisticated formulations may contain acids (acetic acid, ascorbic acid, lactic acid) as ph regulator, antimicrobially active benzoic acid and further skin conditioners (aloe vera, vitamins, menthol, plant extracts).a comprehensive analysis from the university of oregon school of public health indicated that plain soaps are as effective as consumer-grade anti-bacterial soaps containing triclosan in preventing illness and removing bacteria from the hands.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

zaidi ya hospitali mpya zilizojengwa, uchina pia ilibadilisha majengo 14 mengine wuhan, kama vile ukumbi wa mikutano na viwanja, kuwa hospitali za muda.mnamo 26 januari, serikali ilianzisha hatua zaidi kudhibiti mlipuko wa covid-19, pamoja na kutoa vyeti vya afaya ya usafiri kwa wasafiri na kuongeza muda wa likizo ya sherehe ya masika.

Anglais

in addition to newly constructed hospitals, china also converted 14 other facilities in wuhan, such as convention centers and stadiums, into temporary hospitals.on 26 january, the government instituted further measures to contain the covid-19 outbreak, including issuing health declarations for travellers and extending the spring festival holiday.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa sasa ni mtaalam anayekubalika na microsoft na ana vyeti vya ufundi vya microsoft (mta) katika maeneo saba ikiwa ni pamoja na mafunzo ya msingi za zana, mafunzo ya uundaji wa program za windows na yale ya utengenezaji wa mifumo (os).

Anglais

he is now a microsoft certified professional and has microsoft technical associates (mta) certificates in seven areas including software fundamentals, windows development fundamentals and os (operating system) fundamentals.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

(2) kuendelezwa kwa uchunguzi wa sasa wa kivirolojia na kupima watu walio na ugonjwa unaofanana na homa ya mafua au maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)—kwa tahadhari kwamba watu wanashukiwa kuwa au ambao wamekuwa hatarini kupata covid-19 wanapaswa kupaswa kupelekwa katika vituo vya kidhibiti vya kitaifa badala ya kupewa tiba ya kimsingi.

Anglais

(2) extension of current virological surveillance and testing people with influenza-like illness or lower respiratory tract infections (lrti)—with the caveat that people suspected to have or who have been exposed to covid-19 should be referred to the national containment pathway and not seen in primary care.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK