Vous avez cherché: kulazimika (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kulazimika

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

baadae, sherry rehman alipokea vitisho vya kuuawa na hivyo kulazimika kukaa ndani ya nyumba yake bila ya kutoka.

Anglais

sherry rehman later received death threats and was confined to her house.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

msaada wa dharura unapaswa bado kupatikana, ijapokuwa inawezekana unaweza kulazimika kuwasiliana na ubalozi kwa mbali ikiwa ile iliyo karibu na wewe imefungwa.

Anglais

emergency assistance should still be available, though it's possible you may have to contact a further-away consulate if your local one has shut down.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

lakini sitafanya chochote bila kibali chako. sipendi kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako unapaswa kutokana na hiari yako wewe mwenyewe na si kwa kulazimika.

Anglais

but without thy mind would i do nothing; that thy benefit should not be as it were of necessity, but willingly.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

naomba kuwasilisha hata hivyo kwamba, zambia haina tatizo la ukosefu wa marais wenye akili, bali mfumo unaoyawezesha majimbo na wilaya kujiendeleza bila kulazimika kuitegemea lusaka.

Anglais

let me submit however that, zambia is not lacking intelligent presidents , but a system which allows provinces and districts to flourish without looking to lusaka.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mlichunge lile kundi la mungu mlilokabidhiwa, mlitunze si kwa kulazimika, bali kwa hiari kama atakavyo mungu. fanyeni kazi hiyo si kwa tamaa ya fedha, bali kwa moyo wenu wote.

Anglais

feed the flock of god which is among you, taking the oversight thereof, not by constraint, but willingly; not for filthy lucre, but of a ready mind;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutoka mexico, katia d'artigues, ambaye ni mwandishi wa blogu ya campos elíseos (champs elysées), aandika kuhusiana na watoto kulazimika kuhama wao wenyewe , hali inayompelekea kuiita hali hii kuwa ni "baa la kibinadamu":

Anglais

from mexico, katia d'artigues, author of the blog campos elíseos (champs elysées), writes about the children who see themselves forced to emigrate on their own , and calls this a "humanitarian tragedy":

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,724,544,772 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK