Vous avez cherché: kupima na chanjo wa homa ya ini (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

homa ya ini

Anglais

homa ya ini

Dernière mise à jour : 2022-03-15
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa sababu huu ni msimu wa homa ya mafua

Anglais

because this is flu season

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

sampuli zote zilizokusanywa zitapimwa kwa uwepo wa homa ya mafua na covid-19.

Anglais

all samples collected will be tested for the presence of influenza and covid-19.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa sasa, sampuli za vairilojia za uchunguzi wa homa ya mafua zinaambatana na fomu ya kawaida ya ombi.

Anglais

currently, virology samples for influenza surveillance are accompanied by a standard request form.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

rcgp rsc na phe zimeshirikiana kwa zaidi ya miaka 50 katika uchunguzi wa homa ya mafua na magonjwa ya pumu na sasa zimo katika msimu wao wa 53 wa uchunguzi na uchanganuzi.

Anglais

the rcgp rsc and phe have an established collaboration of over 50 years in influenza and respiratory disease surveillance and are now in their 53rd season of surveillance and analysis.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

madhumuni ya mkopo ni kuhusu watoto wangu wa kike, nina watoto mapacha wanaumwa homa ya ini na nahitaji mkopo ili waende hospitali ya bugando iliopo mkoa wa mwanza kwa ajili ya vipimo na dawa

Anglais

the purpose of the loan is about my girlfriends, i have twin babies suffering from liver fever and i need a loan to go to the existing bugando hospital for the primary region for tests and medications

Dernière mise à jour : 2018-01-09
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

utaratibu huu unafafanua jinsi ambavyo tumechukulia mfumo wa uchugnuzi wa homa ya mafua ili kufuatilia maenezi ya jumuiya ya maambukizi yasiyotarajiwa ya covid-19.

Anglais

this protocol describes how we have adapted a national influenza surveillance system to monitor community spread of an unexpected infection of covid-19.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mlipuko wa homa ya ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kuenea kwenye mji mkuu wa guinea.

Anglais

an ebola outbreak killed at least 59 people in guinea and a few suspected cases near the capital conakry suggest that it may have spread to the guinean capital.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kukiwa na mkurupuko wa covid-19, phe na rcgp rsc zimeanza kutumia uchunguzi uliopo wa homa ya mafua ili kufuatilia kuenea kwa covid-19 katika jamii na utaratibu huu unaweka bayana msingi wa ushirikiano huo.

Anglais

with the covid-19 outbreak, phe and rcgp rsc have adapted existing influenza surveillance to monitor the spread of covid-19 in the community, and this protocol sets out the basis for that collaboration.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mkurupuko wa homa ya mafua mnamo 2009 na janga la covid-19 mnamo 2020 ulisabababisha kuongezeka kwa ufahamu katika nchi nyingi wa umuhimu wa kuosha mikono kwa kutumia sabuni ili kujilinda kutokana na magonjwa ya kuambukizwa kama hayo.

Anglais

the outbreak of swine flu in 2009 and the covid-19 pandemic in 2020 led to increased awareness in many countries of the importance of washing hands with soap to protect oneself from such infectious diseases.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

licha ya mafanikio kwa ujumla ya kufungwa kwa shule, uchunguzi wa kufungwa kwa shule huko michigan ilipata kuwa "kufungwa kwa shule katika kiwango cha wilaya hazikuwa na ufanisi."katika mkurupuko wa homa ya mafua ya nguruwe mnamo 2009 huko uk, katika nakala iliyo na mada "kufungwa kwa shule katika janga la homa ya mafua" iliyochapishwa katika magonjwa ya kuambukizwa ya lancet, kikundi cha wanasayansi wanaochunguza magonjwa katika idadi ya watu waliidhinisha kufungwa kwa shule ili kukatiza mkondo wa maambukizi, kupunguza kuenea zaidi na kupata muda wa kufanya utafiti na kutengeneza chanjo.

Anglais

despite the overall success of closing schools, a study of school closures in michigan found that "district level reactive school closures were ineffective."during the swine flu outbreak in 2009 in the uk, in an article titled "closure of schools during an influenza pandemic" published in the lancet infectious diseases, a group of epidemiologists endorsed the closure of schools in order to interrupt the course of the infection, slow further spread and buy time to research and produce a vaccine.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK