Demander à Google

Vous avez cherché: nini jina lako (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

nini jina lako paulo

Anglais

what's your name on paulo

Dernière mise à jour : 2018-04-20
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

jina lako nani

Anglais

what is your name

Dernière mise à jour : 2016-09-13
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

jina lako nani?

Anglais

你叫什么名字

Dernière mise à jour : 2019-12-17
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Jisikie huru kuonyesha kama usingependa jina lako lijulikane.

Anglais

Feel free to indicate if you wish to remain anonymous.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.

Anglais

After this manner therefore pray ye: Our Father which art in heaven, Hallowed be thy name.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako."

Anglais

And here he hath authority from the chief priests to bind all that call on thy name.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Yesu akawaambia, "Mnaposali, semeni: Baba! Jina lako litukuzwe; Ufalme wako ufike.

Anglais

And he said unto them, When ye pray, say, Our Father which art in heaven, Hallowed be thy name. Thy kingdom come. Thy will be done, as in heaven, so in earth.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Unaweza kuweka blogu yako nzima chini ya haki miliki kama ambavyo wanablogu wengine wamefanya, na kufanya namna ambayo jina lako litaonekana kwenye picha.

Anglais

You can copyright your whole blog as other bloggers have done, and have your name embedded on the photos.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Baba, ulitukuze jina lako." Hapo sauti ikasema kutoka mbinguni, "Nimelitukuza, na nitalitukuza tena."

Anglais

Father, glorify thy name. Then came there a voice from heaven, saying, I have both glorified it, and will glorify it again.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Baadaye, wale sabini na wawili walirudi wamejaa furaha, wakisema, "Bwana, hata pepo wametutii tulipolitaja jina lako."

Anglais

And the seventy returned again with joy, saying, Lord, even the devils are subject unto us through thy name.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Yohane akamwambia, "Mwalimu, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako, nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu."

Anglais

And John answered him, saying, Master, we saw one casting out devils in thy name, and he followeth not us: and we forbad him, because he followeth not us.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Wengi wataniambia Siku ile ya hukumu: Bwana, Bwana! kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi.

Anglais

Many will say to me in that day, Lord, Lord, have we not prophesied in thy name? and in thy name have cast out devils? and in thy name done many wonderful works?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Nilipokuwa nao, mimi niliwaweka salama kwa nguvu ya jina lako ulilonipa. Mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja wao aliyepotea, isipokuwa yule aliyelazimika kupotea ili Maandiko Matakatifu yapate kutimia.

Anglais

While I was with them in the world, I kept them in thy name: those that thou gavest me I have kept, and none of them is lost, but the son of perdition; that the scripture might be fulfilled.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Yohane alidakia na kusema, "Bwana, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu."

Anglais

And John answered and said, Master, we saw one casting out devils in thy name; and we forbad him, because he followeth not with us.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Basi, Yesu akamwuliza, "Jina lako nani?" Naye akajibu, "Jina langu ni Jeshi, maana sisi tu wengi."

Anglais

And he asked him, What is thy name? And he answered, saying, My name is Legion: for we are many.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Bwana, ni nani asiyekucha wewe? Nani asiyelitukuza jina lako? Wewe peke yako ni Mtakatifu. Mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana matendo yako ya haki yameonekana na wote."

Anglais

Who shall not fear thee, O Lord, and glorify thy name? for thou only art holy: for all nations shall come and worship before thee; for thy judgments are made manifest.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Watu wa mataifa waliwaka hasira, maana wakati wa ghadhabu yako umefika, wakati wa kuwahukumu wafu. Ndio wakati wa kuwatuza watumishi wako manabii, watu wako na wote wanaolitukuza jina lako, wakubwa kwa wadogo. Ni wakati wa kuwaangamiza wale wanaoangamiza dunia."

Anglais

And the nations were angry, and thy wrath is come, and the time of the dead, that they should be judged, and that thou shouldest give reward unto thy servants the prophets, and to the saints, and them that fear thy name, small and great; and shouldest destroy them which destroy the earth.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: "Kwa sababu hiyo, nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa. Nitaziimba sifa za jina lako."

Anglais

And that the Gentiles might glorify God for his mercy; as it is written, For this cause I will confess to thee among the Gentiles, and sing unto thy name.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Na sasa naja kwako; simo tena ulimwenguni, lakini wao wamo ulimwenguni. Baba Mtakatifu! Kwa nguvu ya jina lako ulilonipa, tafadhali uwaweke salama ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo mmoja.

Anglais

And now I am no more in the world, but these are in the world, and I come to thee. Holy Father, keep through thine own name those whom thou hast given me, that they may be one, as we are.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Basi, Yesu akamwuliza, "Jina lako nani?" Yeye akajibu, "Jina langu ni Jeshi" --kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa.

Anglais

And Jesus asked him, saying, What is thy name? And he said, Legion: because many devils were entered into him.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK