Demander à Google

Vous avez cherché: tiba ya unga (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

sabuni ya unga

Anglais

powdered soap

Dernière mise à jour : 2019-02-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

manjano ya unga

Anglais

turmeric powder

Dernière mise à jour : 2013-10-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

tiba ya mchafuko damu

Anglais

treatment of blood disorder

Dernière mise à jour : 2021-03-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kulingana na ukali, tiba ya kuongezwa hewa, dripu, na msaada wa kupumua huweza kuhitajika.

Anglais

Depending on the severity, oxygen therapy, intravenous fluids, and breathing support may be required.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Wengi wa hudumu na timu za tiba ya kimsingi huenda wasiweze kugundua kwamba data muhimu inaweza kusimbwa.

Anglais

Many GPs and primary care teams may not realize that important relevant data can be coded.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Akitangaza habari hizo za bei mpya ya unga mahindi, waziri wa kilimo na mifugo Emmanuel Chandaalisema:

Anglais

Announcing the new maize floor price, agriculture and livestock minister Emmanuel Chenda said:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Takriban 20-30% ya wagonjwa baadaye huhitaji tiba ya kina na mashine za kusaidia kupumua.

Anglais

Approximately 20-30% of patients subsequently require intensive care and mechanical ventilation.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Asili ya kutegemea usajili ya tiba ya msingi ya Uingereza inamaanisha kwamba tutaweza kuunda taswira kamili ya matukio ya jumla ya vipindi vyake.

Anglais

The registration-based nature of UK primary care means that we will be able to create a complete picture of the cumulative incidence and duration.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kupitia uchunguzi huu, tunanuia kufahamu zaidi kuhusu epidemiolojia ya COVID-19 katika tiba ya watu kurejea nyumbani.

Anglais

Through this surveillance, we intend to find out more about the epidemiology of COVID-19 in ambulatory care.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Tarehe 8 Februari 2020, maabara ya OncoGen kuko Romania ilichapisha karatasi ya muundo wa chanjo na teknolojia sawa na ile iliyotumika kwa tiba ya chanjo cha neoantigen.

Anglais

On 8 February 2020, the laboratory OncoGen in Romania published a paper on the design of a vaccine with similar technology to the one used for cancer neoantigen vaccination therapy.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Hivyo, tiba ya afya ya kiakili inapaswa kutolewa kwa wagonjwa wa COVID-19, watu wanaoshukiwa na watu waliogusana nao pamoja na umma wa jumla ambao wanahitaji.

Anglais

Thus, mental health care should be provided to COVID-19 patients, suspected individuals, and people in contact with them as well as the general public who are in need.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kwa hivyo, kukuza muundo unaotegemea uzoefu wa kimatibabu kwa ajili ya ugonjwa ni muhimu kwa mashirika ya tiba ya afya kuzipa kipaumbele huduma zao, hasa katika maeneo yasiyo na rasilimali za kutosha.

Anglais

Therefore, building a prognosis model for the disease is essential for health-care agencies to prioritize their services, especially in resource-constrained areas.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Matumizi ya steroids: Ilivyofafanuliwa hapa juu, steroids ni vikandamizi vya kinga ambavyo hutumika sana kama tiba ya ziada kwa magonjwa ya kuambukizana ili kupunguza kiwango cha uharibifu wa kuchomeka.

Anglais

Use of steroids: As described above, steroids are immunosuppressant commonly used as an adjunctive therapy for infectious diseases to reduce the severity of inflammatory damage.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Mwezi Mei, Benki ya Dunia iitaka serikali ya Zambiakutokuingilia upangaji wa bei ya unga wa mahindi unaouzwa na wakulima kwa shirika la hifadhi ya chakula la nchi hiyo na wadau wengine katika sekta ya uchumi wa kilimo.

Anglais

In May, the World Bank urged the Zambian government not to interfere in determining the floor prices of maize sold by farmers to the Food Reserve Agency and other interested parties in the agri-business chain.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kukosa kufanya hivyo, kuna uwezekano wa mifumo ya tiba ya afya ya nchini nyingine za EU/EEA kukabiliwa na ongezeko la wagonjwa wanaohitaji tiba ya kina ndani ya siku au wiki zijazo.

Anglais

Failing this, it is likely that the healthcare systems of other EU/EEA countries will face a surge of patients that require intensive care within the coming days or weeks.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kufuatilia uzito wa shughuli ya kushukiwa kwa COVID-19 kwenye jamii kupitia uchunguzi wa tiba ya kimsingi na kuwekewa msimbo visa vinavyoweza kuwa vya COVID-19 vinavyorejelewa kwenye njia ya udhibiti

Anglais

To monitor the burden of suspected COVID-19 activity in the community through primary care surveillance and clinical coding of possible COVID-19 cases referred into the containment pathway

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Kutoa ushahidi wa kivairolojia kuhusu kuwepo na kiwango cha maambukizi ya COVID-19 ambayo hayajagunduliwa katika jamii na kufuatilia viwango vya visa vya maambukizi miongoni mwa watu wanaoonyesha ILI au maambukizi mabaya ya njia ya pumu kwa tiba ya kimsingi

Anglais

To provide virological evidence on the presence and extent of undetected community transmission of COVID-19 and monitor positivity rates among individuals presenting ILI or acute respiratory tract infections to primary care

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Ikiwa haiwezekani tena kudhibiti maenezi ya ugonjwa , jitihada basi zinahamishwa katika awamu ya kuepukana: hatua zinachukuliwa ili kupunguza kuenea na kuepukana na athari zake kwenye mfumo wa tiba ya afya na jamii.

Anglais

When it is no longer possible to contain the spread of the disease, efforts then move to the mitigation stage: measures are taken to slow the spread and mitigate its effects on the healthcare system and society.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

Hivyo, msaada wa kupumua ni muhimu kuondoa maumivu na huokoa maisha na hujumuisha tiba ya kawaida ya hewa safi, mtiririko wa hewa safi, kusaidiwa kupumua bila kutumia mashine ya pembeni na kusaidiwa kupumua kwa mashine ya pembeni kwa kutegemea hali ya ugonjwa.

Anglais

Thus, respiratory support is critical to relieve the symptoms and save lives and includes general oxygen therapy, high-flow oxygen, noninvasive ventilation, and invasive mechanical ventilation depending on the severity of the disease.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

[08/26, 2:08 PM] 255 774 134 927: Nisamehe asije kukasirika [08/26, 2:08 PM] 255 774 134 927: Ohh [08/26, 2:08 PM] 255 774 134 927: Biyashara yako ile ilee [08/26, 2:09 PM] 255 774 134 927: Ya unga wasembe awu

Anglais

[08/26, 2:08 PM] 255 774 134 927: Forgive me for not getting angry [08/26, 2:08 PM] 255 774 134 927: Ohh [08/26, 2:08 PM] 255 774 134 927: Biyashara your ile ile [08/26, 2:09 PM] 255 774 134 927:

Dernière mise à jour : 2020-08-26
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK