Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
tunaitaka serikali ya morocco kusimamia makubaliano ya haki za binadamu za kimataifa na hivyo kufuta mashitaka iliyofungua dhidi ya watu hawa saba.
we call on the moroccan government to stand by its commitments to international human rights agreements and drop all charges against these seven individuals.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tunaitaka hong kong kutuma ujumbe kwa dunia kwamba pembe a ndovu hazikaribishwi nchini humu na hatutaruhusu jiji letu kuwa sehemu ya bishara hii ya kikatili na haramu.
we want hong kong to send a message to the world that ivory isn’t welcome here and we won’t allow our city to be any part of this cruel trade.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tunaitaka serikali ya china kupiga marufuku biashara hiyo ya tembo ndani ya nchi hiyo, kuyafunga maduka yote yanayouza bidhaa za pembe za ndovu na kufunga viwanda 37 vinavyomilikiwa na serikali vinavyotengeneza bidhaa hizo nchini kote.
we also want the chinese government to ban its domestic ivory trade, to shut down the shops selling ivory products and to close down the 37 state-owned ivory carving factories across the country.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :