Demander à Google

Vous avez cherché: tuseme (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

Tuseme hapana kwa matumizi ya nguvu.

Anglais

No to violence.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Tuseme nini basi? Je, twendelee kubaki katika dhambi ili neema ya Mungu iongezeke?

Anglais

What shall we say then? Shall we continue in sin, that grace may abound?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Kutokana na hayo, tuseme nini zaidi? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, nani awezaye kutupinga?

Anglais

What shall we then say to these things? If God be for us, who can be against us?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

““Hebu tuseme ngoma hii ina asili ya Kimongolia au utamaduni wa Kalmyki, lakini sisi ndio tuliifanya kuwa alama ya Kitaifa.

Anglais

“Let’s say the dance has roots in Mongolian or Kalmykian culture, but we’re the ones who made it into a national brand.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Lakini ukweli ni kwamba Obama na Ulaya watafurahi kuikabili Uganda kwa sababu ni shabaha rahisi ukilinganisha na, tuseme, China.

Anglais

But the truth is that Obama and Europe are happy to take Uganda on because it is an easy target compared to, say, China.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia katika mkutano wenu, na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.

Anglais

For if there come unto your assembly a man with a gold ring, in goodly apparel, and there come in also a poor man in vile raiment;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Basi, tuseme nini? Ni hivi: watu wa mataifa ambao hawakutafuta kukubaliwa kuwa waadilifu, wamekubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani,

Anglais

What shall we say then? That the Gentiles, which followed not after righteousness, have attained to righteousness, even the righteousness which is of faith.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Lakini sasa, kwa vile mnamjua Mungu, au tuseme mnajulikana na Mungu, mnawezaje tena kurudi kwa wale pepo maskini na dhaifu hata kutaka kuwatumikia tena?

Anglais

But now, after that ye have known God, or rather are known of God, how turn ye again to the weak and beggarly elements, whereunto ye desire again to be in bondage?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Basi, tuseme nini? Je, tutende dhambi ati kwa sababu hatuko chini ya Sheria bali chini ya neema? Hata kidogo!

Anglais

What then? shall we sin, because we are not under the law, but under grace? God forbid.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Lakini Yesu akawaambia, "Tuseme mmoja wenu ana kondoo wake ambaye ametumbukia shimoni; je, hatamshika na kumtoa humo siku ya Sabato?

Anglais

And he said unto them, What man shall there be among you, that shall have one sheep, and if it fall into a pit on the sabbath day, will he not lay hold on it, and lift it out?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Kisha akawaambia, "Tuseme mmoja wenu anaye rafiki, akaenda kwake usiku wa manane, akamwambia: Rafiki, tafadhali niazime mikate mitatu,

Anglais

And he said unto them, Which of you shall have a friend, and shall go unto him at midnight, and say unto him, Friend, lend me three loaves;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Tuseme nini, basi? Je, sisi Wayahudi ni bora zaidi kuliko wengine? Hata kidogo! Kwa maana nimekwisha bainisha hapo mwanzoni kwamba Wayahudi na watu wa mataifa mengine wote wako chini ya utawala wa dhambi.

Anglais

What then? are we better than they? No, in no wise: for we have before proved both Jews and Gentiles, that they are all under sin;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

"Tuseme mmoja wenu ana mtumishi ambaye analima shambani au anachunga kondoo. Je, anaporudi kutoka shambani, atamwambia: Haraka, njoo ule chakula?

Anglais

But which of you, having a servant plowing or feeding cattle, will say unto him by and by, when he is come from the field, Go and sit down to meat?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Ndugu, tuseme nini, basi? Mnapokutana pamoja, mmoja aimbe wimbo, mwingine atoe mafundisho, mwingine awe na ufunuo kutoka kwa Mungu, mwingine atumie kipaji cha kusema kwa lugha ngeni na mwingine afafanue yanayosemwa. Yote yawe kwa ajili ya kulijenga kanisa.

Anglais

How is it then, brethren? when ye come together, everyone of you hath a psalm, hath a doctrine, hath a tongue, hath a revelation, hath an interpretation. Let all things be done unto edifying.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Je, tuseme basi, kwamba Sheria ni dhambi? Hata kidogo! Lakini bila Sheria, mimi nisingalijua dhambi ni kitu gani. Maana, nisingalijua ni nini hasa kutamani mabaya, kama Sheria isingalikuwa imesema: "Usitamani."

Anglais

What shall we say then? Is the law sin? God forbid. Nay, I had not known sin, but by the law: for I had not known lust, except the law had said, Thou shalt not covet.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

"Au mwaonaje? Tuseme mwanamke fulani ana sarafu kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha taa, aifagie nyumba na kuitafuta kwa uangalifu mpaka aipate.

Anglais

Either what woman having ten pieces of silver, if she lose one piece, doth not light a candle, and sweep the house, and seek diligently till she find it?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK