Vous avez cherché: walifunga (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

waandamanaji walifunga barabara kupinga ongezeko la bei ya nishati ya umeme katika eneo lao.

Anglais

demonstrators blocked the road to protest the rising price of electricity in the area.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

polisi wa hong kong waliyatangaza maandamano hayo ya kukaa kuwa batili na walifunga barabara na njia zinazoelekea kwenye makao makuu ya serikali.

Anglais

hong kong police called the sit-in illegal and blocked roads and pathways leading to the government headquarters.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wahuni hao walifunga lango kuu la kuingilia kwenye jengo la gazeti hilo mnamo tarehe 13 oktoba na kuzuia magazeti kupandishwa kwenye magari ya kusambaza.

Anglais

they blocked the entrance of apple daily on october 13 and obstructed the papers from being loading onto the trucks.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

baada ya paulo na barnabas kuhubiri habari njema huko derbe na kupata wafuasi wengi, walifunga safari kwenda antiokia kwa kupitia lustra na ikonio.

Anglais

and when they had preached the gospel to that city, and had taught many, they returned again to lystra, and to iconium, and antioch,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

walitumia silaha zenye uwezo wa kuua na zile mabazo si rahisi kuua, walifunga vituo vya treni za chini ya ardhi na kuwazuia kidhalilishaji wale waliokuwa wanataka kukiwahi kivuko.

Anglais

they used lethal and non-lethal weapons, they closed the metro stations and oppressed those who were trying to catch the ferry.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

taarifa iliyotolewa na voces mayas , maría del carmen alieleza kuwa, wakati akisihi kuacha kutumia nguvu, jamii za watu wazawa walifunga njia panda ya cuatro caminos kufuatia serikali na mashirika kushindwa kusikiliza madai yao ya msingi.

Anglais

as reported by voces mayas , maría del carmen explained that while appealing to refrain from violent measures, the indigenous communities blocked the cuatro caminos intersection because the government and the corporations did not respond to their clear demands.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,378,601,102 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK