Demander à Google

Vous avez cherché: yaonyesha (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

Nchini Serbia ripoti ya uchuguzi uliofanywa na shirika la Serbia la kila siku liitwalo Blic ikiwa Kanisa la Kisabia la Orthodox, ambao viongozi wao hivi karibuni wamekuwa katika vyombo vya habari mara nyingi kutokana na ripoti ya matumizi ya anasa yaonyesha sasa lazima kuanza kulipa kodi.

Anglais

InSerbia reports and adds details to a poll carried out by Serbian daily Blic on whether the Serbian Orthodox Church, whose clergymen have recently been in the media often due to reports of visible overspending, should begin paying taxes.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Video ambayo Serikali ya Colombia Haitaki Tuone yaonyesha fujo inayotumiwa dhidi ya jamii mbili zilizoko ukingoni wa mto, ambazo zimetumia njia za amani kupinga kujengwa kwa bwawa hilo. Video hiyo pia inakusanya maoni na ushuhuda ya waliokumbana na vurugu hizo, pamoja na waliojeruhiwa.

Anglais

The Video the Colombian Government Doesn't Want Us to See shows the violent eviction faced by two river bank communities standing up peacefully against the building of the dam, and pulls together the testimonies of those who faced the violence and were injured.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Majaribu na mahangaiko ya watu waliooana huku wakiwa ni wa asili tofauti yaonyesha, kama kioo, ni kwa kiasi gani sisi - kama watu tuliostaarabika - tumefikia katika kupokea na kuheshimu tafauti zetu.

Anglais

The trial and tribulations of interracial couples show a mirror to how far we-as a civilization have come in accepting and respecting differences.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Yesu akawajibu, "Kama mngekuwa vipofu, hamngekuwa na hatia; lakini sasa ninyi mwasema: Sisi tunaona, na hiyo yaonyesha kwamba mna hatia bado.

Anglais

Jesus said unto them, If ye were blind, ye should have no sin: but now ye say, We see; therefore your sin remaineth.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK