Vous avez cherché: safarini (Swahili - Chinois (simplifié))

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Chinois (simplifié)

Infos

Swahili

kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.

Chinois (simplifié)

因 為 我 有 一 個 朋 友 行 路 、 來 到 我 這 裡 、 我 沒 有 甚 麼 給 他 擺 上

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

nitakapokwisha tekeleza kazi hiyo na kuwakabidhi mchango huo uliokusanywa kwa ajili yao, nitawatembeleeni ninyi nikiwa safarini kwenda spania.

Chinois (simplifié)

等 我 辦 完 了 這 事 、 把 這 善 果 向 他 們 交 付 明 白 、 我 就 要 路 過 你 們 那 裡 、 往 士 班 雅 去

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

walipokuwa safarini, waliingia katika kijiji kimoja na mwanamke mmoja, aitwaye martha, alimkaribisha nyumbani kwake.

Chinois (simplifié)

他 們 走 路 的 時 候 、 耶 穌 進 了 一 個 村 莊 . 有 一 個 女 人 名 叫 馬 大 、 接 他 到 自 己 家 裡

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda makedonia, na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda yudea.

Chinois (simplifié)

也 要 從 你 們 那 裡 經 過 、 往 馬 其 頓 去 、 再 從 馬 其 頓 回 到 你 們 那 裡 、 叫 你 們 給 我 送 行 往 猶 太 去

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

natumaini kufanya hivyo sasa. ningependa kuwaoneni nikiwa safarini kwenda spania na kupata msaada wenu kwa safari hiyo baada ya kufurahia kuwa kwa muda pamoja nanyi.

Chinois (simplifié)

盼 望 從 你 們 那 裡 經 過 、 得 見 你 們 、 先 與 你 們 彼 此 交 往 、 心 裡 稍 微 滿 足 、 然 後 蒙 你 們 送 行

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kesho yake, hao watu watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika yopa, petro alipanda juu ya paa la nyumba yapata saa sita mchana ili kusali.

Chinois (simplifié)

第 二 天 、 他 們 行 路 將 近 那 城 、 彼 得 約 在 午 正 、 上 房 頂 去 禱 告

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

zaidi ya hayo, yeye amechaguliwa na makanisa awe mwenzetu safarini wakati tunapopeleka huduma hii yetu ya upendo, huduma tunayoifanya kwa ajili ya utukufu wa bwana na uthibitisho wa nia yetu njema.

Chinois (simplifié)

不 但 這 樣 、 他 也 被 眾 教 會 挑 選 、 和 我 們 同 行 、 把 所 託 與 付 我 們 的 這 捐 貲 送 到 了 、 可 以 榮 耀 主 、 又 表 明 我 們 樂 意 的 心

Dernière mise à jour : 2012-05-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

(mfunge) siku maalumu za kuhisabika. na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimize hisabu katika siku nyengine. na wale wasio weza, watoe fidiya kwa kumlisha masikini. na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake. na mkifunga ni bora kwenu, kama mnajua.

Chinois (simplifié)

故你们当斋戒有数的若干日。你们中有害病或旅行的人,当依所缺的日数补斋。难以斋戒者,当纳罚赎,即以一餐饭,施给一个贫民。自愿行善者,必获更多的善报。斋戒对於你们是更好的,如果你们知道。

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,953,289,357 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK