Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
basi, ndugu, kwa damu ya yesu tunapewa moyo thabiti wa kuingia mahali patakatifu.
havante do, fratoj, kuragxon eniri en la plejsanktejon per la sango de jesuo,
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
maana ni lazima fikira tofauti ziweko miongoni mwenu, ili wale walio thabiti wapate kutambulikana.
cxar necese estas, ke ankaux herezoj estu inter vi, por ke la aprobitoj evidentigxu inter vi.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na sisi tuko thabiti mbele ya mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.
kaj jen estas la kuragxo, kiun ni havas antaux li:ke se ni ion petas laux lia volo, li nin auxskultas;
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tunalo tumaini hilo kama nanga ya maisha yetu. tumaini hilo ni imara na thabiti, nalo lapenya lile pazia la hekalu la mbinguni mpaka patakatifu ndani.
kiun ni havas kiel ankron de la animo, firman kaj konstantan, enirantan internen de la kurteno;
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa sababu hiyo, vaeni silaha za mungu ili siku ile itakapofika muweze kuyapinga mashambulio ya adui; na mkisha pigana mpaka mwisho, muwe bado thabiti.
tial prenu al vi la tutan armilaron de dio, por ke vi povu rezisti en la malbona tago, kaj, farinte cxion, stari.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa bwana haitapotea bure.
tial, miaj amataj fratoj, estu firmaj, nemoveblaj, cxiam abundaj en la laboro de la sinjoro, sciante, ke via penado ne estas vanta en la sinjoro.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mnapaswa, lakini kuendelea kuwa imara na thabiti katika imani hiyo, na msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata wakati mlipoisikia habari njema. mimi paulo nimekuwa mtumishi wa hiyo habari njema ambayo imekwisha hubiriwa kila kiumbe duniani.
se efektive vi restas en la fido, fonditaj kaj fiksitaj kaj firmaj en la espero de la evangelio, kiun vi auxdis, kiu estas predikita tra la tuta kreitaro sub la cxielo, kaj kies diakono mi, pauxlo, farigxis.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
shabaha yake ni kuthibitisha imani yenu. hata dhahabu yenyewe ambayo huharibika, hujaribiwa kwa moto; hali kadhalika na imani yenu ambayo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabiti. hapo mtapokea sifa na utukufu na heshima siku ile yesu kristo atakapofunuliwa.
por ke la provado de via fido, pli multevalora ol oro, kiu pereas, kvankam per fajro provite, trovigxu efika por lauxdo kaj gloro kaj honoro en la malkasxo de jesuo kristo;
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :