Vous avez cherché: iliyopo (Swahili - Néerlandais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

Dutch

Infos

Swahili

iliyopo

Dutch

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Néerlandais

Infos

Swahili

kwa hakika, kwa kuitazama picha hii, tunaweza kuhisi hamasa iliyopo katika kundi hili la waimbaji.

Néerlandais

de energie van deze band is bijna voelbaar.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ismaël bowend nabole, mwandishi wa omega fm iliyopo jijini brazzaville, anasema kwamba vyama vya upinzani nchini humo viliyakataa matokeo hayo:

Néerlandais

ismaël bowend nabole, verslaggever voor omega fm in brazzaville, schrijft dat de congolese oppositie het besluit dat na het referendum genomen is, verwerpt:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

maoni ya mwanzo katika ulimwengu wa blogu na ule wa twita yalitofautiana kutokea yale yanayosema kwamba hali iliyopo ni sawa na mapinduzi ya kijeshi mpaka yale yanayosema kuwa ile ilikuwa ndio njia pekee ya kukomesha jitihada za zelaya za kutaka kugombea urais kwa awamu nyingine tena.

Néerlandais

de reacties in de blogosfeer en twittosfeer waren verdeeld: sommigen noemen het een staatsgreep, terwijl anderen het zien als de enige manier om de controversiële actie van zelaya een halt toe te roepen.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wakati huohuo, instituto sangari , taasisi isiyo ya kibiashara ya kuelimisha jamii juu utamaduni wa kisayansi iliyopo são paulo, ilichapisha ramani ya ukatili nchini brazil ya mwaka 2010 ikieleza kuwa wanawake kumi wanauawa kila siku nchini humo.

Néerlandais

tegelijkertijd publiceerde het instituto zangari , een wetenschappelijk instituut in são paulo, hun plattegrond van geweld in brazilië 2010 , waarin staat dat er elke dag 10 vrouwen worden vermoord in het land.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

suala hili limejenga uelewa mpana –na hata kuchanganyikiwa –baina ya miundo iliyopo ya vyombo vya habari na siasa, na kujenga ari ya kuwezeshwa miongoni mwa wanafunzi na viongozi wa kidijitali.

Néerlandais

het heeft voor veel aandacht - en verwarring - gezorgd onder de traditionele media en politieke structuren en het heeft de studenten en digitale leiders mondiger gemaakt.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

baadhi ya nyakati tulizojivunia zaidi mwaka 2011 hazitaweza kuakisiwa katika orodha ya makala bora 20 kama hii iliyopo hapa chini. mwaka huu idadi ya waandishi na wafasiri hai ilizidi 500 wa lugha na nchi zisizo na idadi, na tulichapisha zaidi ya makala ndefu 2,600 na zile fupi fupi zipatazo 6,300 kwa kiingereza peke yake.

Néerlandais

sommige van onze mooiste momenten zijn niet terug te vinden in deze top 20: sinds dit jaar hebben we meer dan 500 actieve auteurs en vertalers in een groot aantal verschillende talen en landen, en we hebben in 2011 alleen al in het engels meer dan 2600 artikelen en 6300 korte berichten gepubliceerd.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,794,845,431 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK