Hai cercato la traduzione di najitoharisha kutokana na hedhi da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

najitoharisha kutokana na hedhi

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

kutokana na ukamilifu wake sisi tumepokea neema mfululizo.

Arabo

ومن ملئه نحن جميعا اخذنا. ونعمة فوق نعمة.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hakuna dalili ya ufumbuzi hadi sasa na hii ni kutokana na:

Arabo

بوادر حل الأزمة لم تبد بعد في الأفق نتيجة ل:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtu huyu ameweza kufanya jambo kubwa kutokana na timu yetu kwa hakika.

Arabo

هذا الرجل تمكن من أن يحقق شيء حقيقي وعظيم من أجل فريقنا القومي.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kutokana na hayo, wengi wa wafuasi wake walirudi nyuma wasiandamane naye tena.

Arabo

من هذا الوقت رجع كثيرون من تلاميذه الى الوراء ولم يعودوا يمشون معه.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.

Arabo

ولست اسأل من اجل هؤلاء فقط بل ايضا من اجل الذين يؤمنون بي بكلامهم.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

kutokana na mashambulizi yanayoendelea huko huko gaza, uwezo wa kutumia intaneti umepungua sana.

Arabo

الهجوم على غزّة على أيّ حال تسبب بانخفاض قدرة الوصول إلى الانترنت بشكل كبير.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, kutokana na tofauti hii, yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.

Arabo

على قدر ذلك قد صار يسوع ضامنا لعهد افضل.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini mona abo elyazeed anaendelea kushikilia msimamo kutokana na ushauri alioutoa na anaweka maoni yake:

Arabo

لكن منى أبو اليزيد عنيدة في نصيحتها وتشارك فكرة واحدة:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadhi ya tembo wanakufa kutokana na kufanyishwa kazi nyingi katika maeneo ya shughuli za ukataji na usafirishaji wa magogo.

Arabo

منتشرة في قطعان صغيرة منفصلة، يتراوح مجموع الفيلة البرية بين 300 إلى 600 حيوان.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jumuia ya global voices yataka haki kutendeka kwa watetezi saba wa uhuru wa kujieleza walioshitakiwa kutokana na wajibu wao wa utetezi.

Arabo

نطالب، نحن أعضاء مجتمع الأصوات العالمية، بالعدل لسبعة من مناصري حرية التعبير الذين يواجهون تهمة "تهديد أمن الدولة الداخلي". وقعوا على البيان

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

maana yote yalioandikwa yameandikwa kwa ajili ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo na maandiko hayo matakatifu tupate kuwa na matumaini.

Arabo

لان كل ما سبق فكتب كتب لاجل تعليمنا حتى بالصبر والتعزية بما في الكتب يكون لنا رجاء.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

walitumia pia sauti yenye vitisho walipotoa wito kwa “kambi fulani za kisiasa” kujifunza kutokana na yaliyopata kutokea.

Arabo

كما أستخدم العسكري نغمة التهديد عندما ذكروا "قوات سياسية معينة" أن يتعلموا من دروس الماضي.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

waganga na maafisa wa afya wanasema idadi ya waliofariki kutokana na shambulio hilo la anga la israeli nje ya shule ya umoja wa mataifa kwenye ukanda wa gaza imefikia 30.

Arabo

العناصر الطبية قالت بأنّ عدد الضحايا الذين سقطوا جراء الضربة الاسرائيلية على مدرسة الأمم المتحدة في غزّة، ارتفع إلى 30.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

katika kundi lililofuata, wawili wanafikiri kwamba blogu zimepungua umaarufu kutokana na kukua kwa umaarufu wa facebook, na mmoja anadhani kuwa wanablogu wamepunguza kujishulisha.

Arabo

اعتقد اثنين من المجموعة المشاركة مؤخراً، بأن المُدوّنات فقدت بعض من أهميتها بسبب زيادة شعبية فيسبوك بينما وضّح مشارك آخر بأن السبب هو أن المُدوّنين أصبحوا أقل نشاطاً عما كان.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kutokana na mateso yaliyotokea wakati stefano alipouawa, waumini walitawanyika. wengine walikwenda mpaka foinike, kupro na antiokia wakihubiri ule ujumbe kwa wayahudi tu.

Arabo

اما الذين تشتتوا من جراء الضيق الذي حصل بسبب استفانوس فاجتازوا الى فينيقية وقبرس وانطاكية وهم لا يكلمون احدا بالكلمة الا اليهود فقط‎.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

adhabu ya kifo inahitaji maoni ya mufti mkuu ili kuiunga mkono kutokana na mtazamo wa kidini, mtazamo wa sharia ili kuitimiza hukumu. siyo kila siku watu hutoa adhabu ya kifo kwa yeyote.

Arabo

يحتاج حكم الإعدام رأي المفتى لدعمه من الناحية الدينية,وجهه نظر الشريعة لتحقيق العدالة ,لا تحكم كل يوم على وفاة شخص.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mapema mwezi huu, wizara ya afya, ilitangaza kuwa katika mwaka uliopita zaidi ya watu 4, 400 walipoteza maisha kutokana na uchafuzi wa hewa huko tehran, mji mkuu wa iran.

Arabo

وقد صرحت وزارة الصحة باكراً هذا الشهر أن أكثر من 4400 شخصاً قد لقى حتفه بسبب تلوث الهواء في العاصمة الإيرانية طهران.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kutokana na changamoto hizi, takribani mtu mmoja kati ya watu wanne (sawa na asilimia 23) wanaosumbuliwa na maradhi hawakuweza kupata huduma ya matibabu kwa kuwa hawakuwa na fedha za kulipia.

Arabo

ونتيجة لذلك، ما يقرب من واحد من كل أربعة أشخاص مرضى (23%) لا يسعون إلى الرعاية في المركز الصحي لأنهم لم يستطيعوا دفع ثمن الخدمة. يعتبر توافر الدواء أيضًا مشكلة حقيقية، بسبب وجود فشل منهجي في إدارة وتتبع مخزون الدواء.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maana, ninyi mnajua neema ya bwana wetu yesu kristo: yeye, ingawa alikuwa na kila kitu, alijifanya maskini kwa ajili yenu, ili kutokana na umaskini wake, awatajirishe.

Arabo

فانكم تعرفون نعمة ربنا يسوع المسيح انه من اجلكم افتقر وهو غني لكي تستغنوا انتم بفقره.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kama sehemu ya mfululizo wetu juu ya teknolojia na ugunduzi unaofanyika afrika, hivi karibuni tulionyesha mashine ya kuchapishia picha zenye umbo halisi yaani 3d iliyotengenezwa kutokana na taka pepe nchini togo na mashine ya kukagua usahihi wa maneno katika lugha ya spell ki-bambara .

Arabo

كجزء من سلسلة الابتكار المصنوعة في افريقيا، قد عرضنا مؤخرًا الطباعة ذات الابعاد الثلاثية المصنوعة من المخلفات الالكترونية في توجو والمدقق الإملائى للغة بامبارا.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,724,223,500 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK