Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
yuda alikuwa mmoja wa kikundi chetu maana alichaguliwa ashiriki huduma yetu.
כי היה נמנה אתנו וזכה בגורל השרות הזה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kulikuwa na kiongozi mmoja myahudi, wa kikundi cha mafarisayo, jina lake nikodemo.
ויהי איש אחד בתוך הפרושים ושמו נקדימון שר ליהודים׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. watu wapatao elfu tatu wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.
ויקבלו את דברו בשמחה ויטבלו וביום ההוא נוספו כשלשת אלפי נפש׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mara mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri pamoja na watu wa kikundi cha herode jinsi ya kumwangamiza yesu.
והפרושים יצאו מהרה ויתיעצו עליו עם ההורדוסיים לאבדו׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kikundi chote kilikaa kimya, kikawasikiliza barnaba na paulo wakieleza miujiza na maajabu ambayo mungu alitenda kwa mikono yao kati ya watu wa mataifa mengine.
ויחרישו כל הקהל וישמעו אל בר נבא ואל פולוס מספרים את האתות והמופתים אשר הרבה האלהים לעשות על ידיהם בקרב הגוים׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"basi, nitakifananisha kizazi hiki na kitu gani? ni kama vijana waliokuwa wamekaa uwanjani, wakawa wakiambiana kikundi kimoja kwa kingine:
ואל מי אדמה את הדור הזה דומה הוא לילדים הישבים בשוקים וקראים לחבריהם לאמר׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
lakini wayahudi wakaona wivu; wakawakodi wafidhuli sokoni, wakafanya kikundi na kuzusha fujo mjini kote. wakaivamia nyumba ya yasoni wakitumaini kuwapata humo paulo na sila ili wawalete hadharani.
ויקנאו הסוררים שביהודים ויקחו להם אנשי בליעל מבטלני השוק ויקבצו המון ויהמו את העיר ויסבו על בית יסון ויבקשו להביאם חוצה אל העם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina lake theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu mia nne wakajiunga naye. lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi chake kikafa.
כי לפני הימים האלה קם תודס ויתן את נפשו כאחד הגדולים וידבקו בו כארבע מאות איש ויהרג וכל אשר שמעו אליו התפרדו ויהיו לאין׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! tumeomboleza, lakini hamkulia!
דמים הם לילדים הישבים בשוק וקראים זה אל זה ואמרים חללנו לכם בחלילים ולא רקדתם קוננו לכם קינה ולא בכיתם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kelele ziliongezeka na baadhi ya walimu wa sheria wa kikundi cha mafarisayo walisimama na kutoa malalamiko yao kwa nguvu: "hatuoni chochote kilicho kiovu katika mtu huyu; huenda ikawa kwamba roho au malaika ameongea naye."
ותהי המלה גדולה ויקומו הסופרים אשר מכת הפרושים ויתוכחו לאמר לא מצאנו דבר רע באיש הזה ואם רוח דבר אליו או מלאך אל נלחמה באלהים׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta