Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
wakati wa safari yangu ya yaounde juma hili nilienda kununua matofaa mara mbili.
during my trip to yaounde this week i went to buy apples, twice.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mazungumzo na wauza matofaa kwa hakika yanaibua mengi kuhusu mitizamo inayoambatana na rangi ya mtu ambayo ina mkanganyiko:
the conversations with those selling the apples certainly reveal a lot about the perceptions associated with race which engender misconceptions:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mwaka mmoja uliopita hali hiyo ingenikasirisha sana lakini sasa ninakimbia kwa urahisi kwenda kukutana na rafiki yangu na mama yake na kusimulia tukio hilo huku nikicheka na kusema kwamba kwamba nilidhani haikuwa siku yangu ya matofaa.”
a year ago that interaction might have upset me but now i simply ran to catch up with my friend and her mom and repeated it while laughing and saying that i guessed it wasn't my day for apples."
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
…nilimuona mtu mwingine akiwa na mkokoteni wa matofaa nje ya duka la mzungu kwenye mtaa mwingine mjini yaounde (hilo lilikuwa kosa la kwanza, kujaribu nje ya duka la mzungu).
...i saw another man with an apple cart outside of a white person store in downtown yaounde (that was mistake one, trying outside a white person store).
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
akizungumzia ununuzi wa matunda mjini yaounde, mfanyakazi wa kujitolea wa shirika la kujitolea la marekani (u.s. peace corps ) anayeblogu kwenye adventures of aubrey inaelekea amekuwa akibishana kidogo juu ya bei ya matofaa.
speaking of buying fruits in yaounde, a u.s. peace corps volunteer blogging at adventures of aubrey seems to have been haggling a bit over the price of apples.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: