Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…
they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ujumbe wa maandishi kwenye simu ya mkononi unaniambia ( katika kipindi hiki inanibidi nitegemee habari kutoka kwenye simu ya mkononi kama inawezekana kupokea) kwamba umoja wa mataifa unasema kuwa watu 13,000wamepoteza makazi yao, na kwamba asilimia 20 ya waliokufa ni wanawake na watoto, asilimia 70 hawana maji salama ya kunywa.
a text tells me (at this point i have to rely on news from phone and text messages, when reception is available) that the un says 13,000 have been displaced since these attacks, that 20% of the dead are women and children, 70 % are without drinking water.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: