Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
ombi hilo la kuachiwa kwa dhamana lilikataliwa na kesi kuahirishwa mpaka 14 desemba 2009.
the release request was denied while his trial was adjourned to december 14, 2009.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hata hivyo, hii haitakuwa mara ya kwanza kwa uchaguzi wa kitaifa kuahirishwa nchini nigeria.
however, this is not the first time a national election will postponed in nigeria.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kuahirishwa kwa uchaguzi kunaweza kutoa mwanya kwa jonathan kurekebisha baadhi ya makosa aliyokwisha kuyafanya.
a postponement would provide an opportunity for jonathan to recover some lost grounds.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kuna nadharia tofauti za namna ambavyo chama tawala cha pdp kinavyofaidika na kuahirishwa kwa uchaguzi wa rais.
there are different theories on what pdp benefits from the postponement.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
anatanabaisha kuwa kuahirishwa kwa uchaguzi kumegubikwa na hali ya watu kuonesha kukatishwa tamaa pamoja na ni uamuzi wa mashaka tele.
he notes that the postponement has been met with widespread disappointment and suspicion.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa kuahirishwa kwa uchaguzi ni mbinu za kisiasa zilizo na lengo la kukipendelea chama tawala.
some political observers believe that the postponement is a political strategy meant to favour the ruling party.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
1. @nigeria_law vifungu vya sheria vya katiba vipo wazi kabisa kuhusiana na suala la kuahirishwa kwa chaguzi.
1. @nigeria_law the provision of the constitution is very clear on the postponement of the elections.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na mwisho wa mwezi wa matukio ya haraka haraka, pamoja na kuahirishwa kwa wiki moja, zaidi ya wanaijeria milioni 73 walishiriki kwa hiari katika zoezi hili adili.
at the end of one month of frantic activity, including a week’s extension, over 73 million gallant nigerians had voluntarily participated in the noble cause.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ryan cummings, mchambuzi wa afrika ya kusini wa masuala ya usalama anasema kuwa, kuahirishwa kwa uchaguzi kwa sababu ya boko haram ni jambo lisilokuwa na maana kabisa:
ryan cummings, a south african security analyst, says postponing election because of boko haram is nonsensical:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tume ya taifa ya uchaguzi (inec), ambayo ndiyo mamlaka husika, ilitoa taarifa yake kuwa hakukuwa na sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
inec, the responsible authority, replied there was no reason for postponement.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hadi wakati ninaandika makala haya, watumiaji wa mtandao wa twita walishai-twiti na 16 waliipenda twiti ifuatayo mara baada ya idhaa ya sauti ya america ya hausa kuwaomba watu kutoa maoni yao kuhusiana na kuahirishwa kwa uchaguzi:
by the time of writing this, 316 twitter users have retweeted and 16 favourited the following tweet after a call by voice of america hausa to its followers to express their opinion about the postponement:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kutokana na kuahirishwa kwa uchaguzi, tutakuwa tukizindua kura yetu ya mwisho ya maoni (“nani utampa kura yako tarehe 9 aprili”) siku ya jumanne, aprili 5. #nigeriadecides
due to the postponed elections, we'll be launching our final poll ("who will you vote for on april 9″) on tuesday, april 5. #nigeriadecides
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
henrik angerbrandt, ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu (phd) katika masuala ya sayansi ya siasa na mtafiti katika taasisi ya nordic africa, anaamini kuwa kuahirishwa huku kwa uchaguzi kumechagizwa na sababu za kisiasa zaidi kuliko za kiusalama.
henrik angerbrandt, a phd candidate in political science and researcher at the nordic africa institute, believes the postponement has more to do with politics than security.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: