Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
tuzo ya udhibiti ya majanga – shirika la taifa la majisafi na majitaka
crisis management award – national water and sewerage corporation
Ultimo aggiornamento 2024-03-20
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hata nchi zenye vyoo vya kutosha huwa zinakabiliana na matatizo yanayotokana na vyoo vichafu vya umma mpaka utupaji majitaka unaoharibu njia za maji.
even countries with abundant toilets have to deal with problems ranging from unhygienic public toilets to waterway-destroying sewage disposal.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa kuwa “ueni mashoga” ulikuwa ni kibao kikubwa kwa wabaguzi wakati walipokuwa wanawachoma moto wasagaji, wanaweza kpayuka wimbo huo wakati wakiwatosa mashoga kwenye madaraja kwenda kwenye mashimo ya majitaka.
so long as “kill the gays” was a major hit for bigots as they set lesbians alight, they can scream it as they throw the gays off bridges and into manholes.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hii inamaanisha kwamba fedha hizo zitatumika kwa ajili ya kununulia vifaa (mitaala, madawati, kalamu) pamoja na shughuli nyingine za mradi kama vile ujenzi wa shule; ukarabati wa madarasa; mafunzo ya utawala/waalimu; vikundi vya wazazi na waalimu; vilabu vya vvu/ukimwi; maji na usafi wa majitaka mashuleni; mafunzo ya afya shuleni; utetezi wa elimu; elimu ya ufundi/ na maisha kwa vijana, wakulima na wanawake; na maendeleo ya mitaala kwa vyuo vikuu na shule za sekondari.
this means that the money would be used for material purchases (curriculum, desks, pencils) as well as project activities such as construction of schools; rehabilitation of classrooms; teacher/management training; ptas; hiv/aids school clubs; water and sanitation in schools; health education in schools; education advocacy; vocational/life-skills training for youth, farmers and women; and curriculum development for secondary school/university.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: