Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
matumaini yangu
my hope.umeshindaje salaaaamaaaaa aa
Ultimo aggiornamento 2024-02-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ni matumaini yangu kwamba uko mzima pia
it's safe too.
Ultimo aggiornamento 2023-02-26
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ni matumaini yangu utalichukulia hili kwenye uzito stahili
it is my hope that you are doing well
Ultimo aggiornamento 2020-12-10
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ni matumaini yangu kwamba anaweza kuachiliwa bila kuchelewa na kwamba ataweza kuunganishwa na familia yake.
it is my sincere hope that he can be released without delay and that he can be reunited with his family.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
sitaki kupendelea chama chochote katika uchaguzi lakini ni matumaini yangu tu kwamba uchaguzi utaendeshwa kwa amani.
i do not take a position for any party in the elections but i do hope that they are carried out peacefully.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ni matumaini yangu kwamba mawazo kama haya yanaweza kuchukuliwa kwa uzito unaostahili kupunguza kiwango cha ukosefu wa ajira nchini.
it is my hope that such ideas can be ytaken seriously to reduce the leve of unemployment in the land.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ni matumaini yangu kwamba hivi karibuni mama yangu ataweza kuwashirikisha hisia zake na kuzungumza moja kwa moja yeye mwenyewe badala ya kuzungumza kupitia kwangu.
it is my hope that soon my mother will be able to share this feeling and to speak directly for herself instead of through me.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
@gabyreimberg: matumaini yangu ni kuwa maandamano haya hayataishia hapa, ni muda muafaka wa ulimwengu kuifahamu vyema nchi hii! #peppervsvinegar
@gabyreimberg:hopefully these protests won't stop here… it's time to show (the world) who this country (really) is! #peppervsvinegar
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
matumaini yangu wote ni wazima,mimi pia ni mzima .leo nimewezaa kuongea na kaka ombeni ameniambia kila kitu ,poleni sanaa kwa matatizo ya maradhi yaliyo kuwa yamewapata wote wawili.
i hope you're healthy
Ultimo aggiornamento 2024-01-29
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ni matumaini yangu kuwa jumuia ya global voices itachangia katika kutoa taarifa ambazo zitatuwezesha kuyaonesha makampuni pamoja na ulimwengu kuhusiana na madhara halisi yatokanayo na vitendo vya makampuni binafsi kudhibiti uhuru wa kujieleza wa mtandaoni"
i hope the global voices community will contribute to the data, which will enable us to show companies and the world the real impact of private organisations on regulating online speech."
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
ni matumaini yangu kuwa, siku moja serikali itatujulisha ni nani anayewafadhili kifedha na kuratibu mikakati ya boko haram. — henry bature okelue (@4eyedmonk) april 14, 2014
i hope one day, the government will one day announce to us the unmasking of the financier and mastermind behind boko haram. — henry bature okelue (@4eyedmonk) april 14, 2014
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
@zittokabwe: natuma salamu zangu za rambirambi kwa wananchi wa #ethiopiakufuatia kifo cha waziri mkuu #meleszenawi.ni matumaini yangu kwamba kutakuwa na muendelezo wa kidemokrasi huko abbysinia.
@zittokabwe: my condolences to the people of #ethiopia following the death of prime minister #meleszenawi hope for a democratic developmental abbysinia
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: