Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
erat autem ibi circa montem grex porcorum magnus pascen
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa hiyo pepo hao wakamtoka yule mtu, wakawaingia wale nguruwe, nao wakaporomoka kwenye ule mteremko mkali, wakatumbukia ziwani, wakazama majini.
exierunt ergo daemonia ab homine et intraverunt in porcos et impetu abiit grex per praeceps in stagnum et suffocatus es
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
naye akawaruhusu. basi, hao pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe. kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likaporomoka kwenye ule mteremko mkali mpaka ziwani, likatumbukia majini.
et concessit eis statim iesus et exeuntes spiritus inmundi introierunt in porcos et magno impetu grex praecipitatus est in mare ad duo milia et suffocati sunt in mar
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alipofika karibu na yerusalemu, katika mteremko wa mlima wa mizeituni, umati wote na wanafunzi wake, wakaanza kushangilia na kumtukuza mungu kwa sauti kubwa, kwa sababu ya mambo makuu waliyoyaona;
et cum adpropinquaret iam ad descensum montis oliveti coeperunt omnes turbae discentium gaudentes laudare deum voce magna super omnibus quas viderant virtutibu
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
yesu akawaambia, "haya, nendeni." hapo wakawatoka watu hao, wakawaingia nguruwe. kundi lote la nguruwe likaporomoka kwenye ule mteremko mkali, likatumbukia ziwani; nguruwe wote wakafa maji.
et ait illis ite at illi exeuntes abierunt in porcos et ecce impetu abiit totus grex per praeceps in mare et mortui sunt in aqui
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta