検索ワード: inataka (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

inataka

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inataka kutawala wakati uliopo kwa kutumia uongo

英語

government wants to control the present with falsehoods and

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

marekani inalipua nchi nyingi na inataka kumtawala kila mtu.

英語

america bombs countries and dictates to everyone.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hii itakuwa kuweka waathirika katika hali ya hatari na inataka kulazimisha tu faini kwa mchokozi.

英語

this would put victims at risk and seeks to impose only a fine on the aggressor.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kuongeza bei ya mafuta na umeme, serikali inataka raia wake wakose kabisa fedha za kujilipua kwa moto

英語

after increasing the prices of fuel and electricity, the government wants to guarantee that citizens will not find any money to set themselves on fire

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hii ndio sababu katiba yetu inataka tu kwamba mtu hawezi kutawala kama 'hali yake ni mbaya'.

英語

this is why our constitution only states that one should not lead if they are “incapacitated”.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

idara ya afya ya umma ya california inataka kuweka uthabiti katika jimbo lote ili kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya covid-19.

英語

the california department of public health looks to establish consistency across the state in order to ensure that we mitigate the impact of covid-19.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama kweli tume yetu ya uchaguzi inataka mfumo wa upigaji kura unaoaminika na wenye sifa nchini ghana, basi nadhani tume ni lazima iongoze mawazo yaliyowekwa hapo juu.

英語

if indeed our electoral commission really wants a more reliable and credible system of voting in ghana, then i think the commission should have spearheaded the ideas highlighted above.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huenda hawakutaka kukiri ukweli kwa sababu katiba inataka kuondolewa madarakani kwa kiongozi, ikithibitishwa na baraza la madaktari kwa ombi la baraza la mawaziri, kwamba afya yake ina matatizo.

英語

they probably did not want to admit the fact because of a constitutional clause which calls for the removal of the office holder, once declared unfit by a medical board if called by cabinet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“awb ipo pamoja na familia ya eugene terreblanche na inataka kusisitiza kuwa tukio hilo lilichochewa na malema na lilikuwa la kisiasa kama ilivyowekwa dhahiri katika facebook”

英語

"the bwb sympathizes with the family of eugene terreblanche and wants to point to the fact that this deed was politically motivated by melama as revealed on facebook"

最終更新: 2024-04-11
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hivi inawezekanaje kundi la kisiasa, kama jumuiya ya kiarabu, ambayo inataka kuheshimiwa katika jamii ya kiarabu na katika ulingo wa kimataifa ikaruhusu mapinduzi kama haya kufanyika katika moja ya mataifa wanachama wake?

英語

how can a political group, like the arab league, which demands that it is respected in arab and international arenas allow such a military coup to take place in one of its member countries?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"kwa kweli israeli inataka kutufanya tuwe hivyo hivi sasa", alisema. "kwa mfano, saa nyingine jambo kubwa ambalo hulifikiria ni jinsi ya kupata kilo ya gesi, nilijenga jiko kwa ajili ya familia yangu na nilijisikia kana kwamba nilifanya jambo la kustaajabisha."

英語

“actually israel is trying to force us into a meaningless life like this,” he says. “like, sometimes i feel that all that really matters to me right now is a kilo of gas. i built a stove for my family and i feel like i did something amazing.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,726,291,706 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK